Dunia ina aina 2 za mizunguko,kwanza dunia kuzunguka jua;mzunguko huu hutupatia misimu minne ya mwaka yaani kiangazi,kipupwe,vuli na masika. Pili,dunia kuzunguka mhimili wake Wenyewe; mzunguko huu utupa zamu ya mchana na usiku,na utofauti wa masaa katika uso wa dunia.Sasa Hivi Inakuwaje Kwingine Linawaka Na Kwingine Haliwaki
Je jua linazunguka au limetulia?
Je jua linazunguka au limetulia?
Je jua linazunguka au limetulia?
Mbunge mmoja wa bunge la katiba anauliza. KAMA USO WA JUA UNA NYUZI JOTO 5500°c Je usiku joto hhilo hupungua kiasi gani.
Mbunge huyo kutoka chama pendwa akazidi kuuliza WALIO KWENDA KUPIMA HILO JOTO WALITUMIA ATC AU FAST jet ¿
Je jua linazunguka au limetulia?
Wanasayansi wa NASA ,wanasema jua liliumbika takriban miaka bilioni 4.59 iliyopita. Likiwa limeumbwa kwa mchanganyiko wa gesi za hydrogen na helium,uso wa jua una nyuzi joto 5,500'C na nyuzi joto milioni15.5 'C katikati yake. Jua hubeba asilimia 99 ya uzito wote wa mfumo wa solar, unaojumuisha sayari na nyota. Wastani Jua lipo umbali wa kilometa Milioni 150 hivi, lakini Mwanga wa jua husafiri kiasi cha dakika nane tu kuifikia sayari ya dunia.Inaelezwa kuwa,
Kulitazama jua bila vifaa maalum kwaweza kuathiri vibaya macho ya mwanadamu.
Na bila jua hakuna uwezekano kwa kiumbe yoyote mwenye mwili kuishi juu ya nchi.
Sawa mkuuNyota hazimo katika solar system.
Haiwezekani, lazima nishangae... Nje tu ya dunia hapo karibu radiations zinapiga ile mbaya.. mtu akaribie jua hajisomi?? hamna material yoyote ile duniani inayoweza stand joto la juaUsishangae NASA wakikuambia wamefika juani.
Wanasayansi wa NASA ,wanasema jua liliumbika takriban miaka bilioni 4.59 iliyopita. Likiwa limeumbwa kwa mchanganyiko wa gesi za hydrogen na helium,uso wa jua una nyuzi joto 5,500'C na nyuzi joto milioni15.5 'C katikati yake. Jua hubeba asilimia 99 ya uzito wote wa mfumo wa solar. Wastani Jua lipo umbali wa kilometa Milioni 150 hivi, lakini Mwanga wa jua husafiri kiasi cha dakika nane tu kuifikia sayari ya dunia.Inaelezwa kuwa,
Kulitazama jua bila vifaa maalum kwaweza kuathiri vibaya macho ya mwanadamu.
Na bila jua hakuna uwezekano kwa kiumbe yoyote mwenye mwili kuishi juu ya nchi.