Kimefanya nini?Vipi kuhusu kifo?
Sio sisi na hao wenyewe.... sisi hatukushiriki .Kweli hayo ya dunia amepewa hizo nguvu na sisi wenyewe....
Na yesu ni namba ngapi??Ni vyema Rais akaheshimiwa ..kuna watu wana akili fupi kama Mange Kimambi wanadhani Rais ni babu yao. Rais ni namba 1
Daaaaah ndo maana Pombe anakibri hvyo.....haaaaah..!!!...ndo maana anapinga mchakato wa katiba anafahamu fika atanyang'anywa baadhi ya madaraka yasiyo ya lazima....jaman KATIBA...KATIBA....la sivyo ni bora trump aje kututawala tu ....
Hii nchi ni yetu sisi mkuu hao wamepewa watuongoze tu.... kama hatuwataki au hatutaki uongozi wao tunao uwezo wa kuwatoa.... ndo maana tunaitwa wananchi na wakati wa kampeni povu linawajaa.....Sio sisi na hao wenyewe.... sisi hatukushiriki .
Hata mimi sikuelewa kwa nini aliruhusu vyama vingi mwaka 92 baada ya watz 20% tu kukubali vyama vingi lakini akaacha katiba ya chama kimoja.... na alikuwa anajua maana siku moja aliisha wahi kuongelea ubovu wa katiba akisema, kwa katiba tuliyo nayo... ikimpata raisi kichaa niLi katiba la CCM hilo na Nyerere ndio msukaji wake mkubwa alijua mapungufu yake na bado akaliacha hivyo na wengine wanaliendeleza. Na sasa upele umempata mwenye kucha.
ndioKwaiyo kwa kifupi RAISI yupo juu ya sheria na katiba
Warioba aliwauliza katiba ya Warioba mnaijua au kutamka tamka tu katiba ya Warioba?Rais apunguziwe mamlaka, ana mamlaka makubwa mno.
TUNAITAKA KATIBA YA WARIOBA
Huyo dada kachanganyikiwa baada ya kulimwa talaka huko Marekani. Yote anayoyaandika ni ushahidi tosha wa kwanini mzungu aliamua kuachana nae.Ni vyema Rais akaheshimiwa ..kuna watu wana akili fupi kama Mange Kimambi wanadhani Rais ni babu yao. Rais ni namba 1
Sijakataa ila Itakuwa sisi tu pale katiba ya wananchi itakapopitishwa (aka katiba ya warioba). So far katiba inayotumika sio ya wananchi ni ya watu wachache walioamua kwa niaba yetu.Hii nchi ni yetu sisi mkuu hao wamepewa watuongoze tu.... kama hatuwataki au hatutaki uongozi wao tunao uwezo wa kuwatoa.... ndo maana tunaitwa wananchi na wakati wa kampeni povu linawajaa.....