britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,182
- 48,143
Mwaka 1961 tulipata uhuru lakin nchi haikuwa na rais badala yake ilikuwa na waziri mkuu mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ambaye baadae mwaka 1962 akawa Rais wa Tanganyika hadi baadae Tanzania mpaka mwaka 1985. akaja mzee mwinyi , baadae mkapa na baadae Kikwete ambaye katuachia Dr Magufuli,
katika tawala mbali mbali hizo tumeshuhudia machapisho mbali mbali kuwa kuna usawa kati ya Bunge, Serikali na Mahakama, sikatai maana kwa dhahania ni kweli ila kiuhalisia si kweli. nitapitia mifano midogo midogo tu,
mwaka 1963 Chief wa uchaggan alikuwa anaidai jamii iliyomzunguka sh million 1. na kesi ya kwanza akashinda mahakaman ikabidi aamuliwe kulipwa, lakin Mwalimu Nyerere kwa kutambua kuwa haki na sheria ni vitu viwili tofauti, maana wenye uelewa wa mapungufu ya sheria wanaweza wakatumia mapungufu hayo kunyonya wasioelewa , aliita kikao cha dharula cha bunge na kurekebisha sheria ile kabla ya tarehe tajwa ya kusikilizwa rufaa, na yule chief akashindwa kesi ile, {naomba kurekebishwa hapa kuwekwa sawa wenye kumbukumbu}
Mfano wa pili ni pale ambapo mwalimu alitoa ushuhuda wake mwenyewe kuwa aliamuru Mgiriki kutiwa ndani bila kuhojiwa na yeyote na ikabidi sasa aombwe ku kiutaratibu kumtoa lakin bado akakataa, baadae akakubali(si taasisi bali yeye)
Mfano wa tatu ni katika hotuba yake Rais wa awamu ya nne Dr. Jakaya Mrisho Kikwette akihutubia bunge kutimiza miaka 2.5 madarakani, alikuwa akimjibu Dr slaa aliyekuwa anahoji kwanini rais anakuwa nakigugumizi juu ya kuwashughulikia wala rushwa hasa EPA, RICHMOND ,DOWANS? ikumbukwe Dr. slaa alikuwa na ushahidi ambao alikuwa akiupata kwa marehem Samweli Sitta na kumpatia ili auseme bungeni, na pengine, hivyo majibu ya Kikwete akijibu bungeni dhidi ya shutma kwann hachukui hatua alijibu RAIS NI MTU MKUBWA MNO HAPASWI KUFANYA MAAMUZI YA KUKURUPUKA KWANZA INABIDI ATAFAKALI ILI ASIWAUMIZE WATU MAANA NENO LAKE LIKISEMWA NDO LA MWISHO, na akasisitiza kuwa "Mimi nina uwezo wa kumwambia Said Mwema kuwa muweke dr slaa ndani" mwema akiniuliza kwanini mzee na tunamtoa lini namwambia mwache akae ndani kwanza na kesi yake haitasikilizwa popote, mpaka niamue" alisema kama mfano Dr kikwete akihutubia Bunge mwaka 2008.
Mfano mwingine ni Suala la zanzibar ni nchi au siyo nchi , ili suala lilizua matata sana mpaka kina Mnyaa mbunge wa zanzibar na Jussa kuleta matata, waziri mkuu wa wakati huo Mh Kayanza Peter Pinda akajibu hawakumuelewa na zanzibar wakaandamana, lakin Rais kikwete alivyotamka vile vile hata wabunge wakakaa kimya.
Mfano mwingine ni pale rais Magufuli alivyosema lazima tubane matumizi , hata mihimili mingine bila kujali kama wana matatizo wakawawasilisha hela haraka haraka, na alivyoulizwa swali akasema Mhimili wake una mzizi mrefu kuzidi mihimili mingine.
KUPITIA MIFANO HIO TUNAONA KUWA RAIS ANA NGUVU HIZI
1.Rais wa Tanzania ana nguvu akiamua anaweza kuliendesha bunge akiwa ikulu
2. Rais wa Tanzania anaweza kuamua uwekwe ndani na usiulize na watu wakaogopa kuuliza,
3. Rais wa Tanzania ndo mtu mwenye mamlaka ya kuchagua viongozi wote wa nchi ispokuwa spika wa bunge na watu baadhi
4. Rais wa Tanzania ndo anachagua magavana wote, kuanzia benki kuu na kuendelea
5. Rais wa Tanzania ndo mwenye uwezo wa kuamua awaachie rais yupi wakati wake ukiisha
6. Rais wa Tanzania ndo anachagua makamishna wote wa juu wa jeshi,
7. Rais wa Tanzania ana uwezo wa kuamuru hela ifungiwe B.O.T au itoke kwenda mahali mbalimbali
8. Rais wa Tanzania anauwezo wa kuibadilisha mihimili mingine anavyotaka kiuongozi, mfumo na mwenendo
9. Rais wa Tanzania anaweza kufunga chombo chochote kile cha habari bila kuulizwa,
10. Rias wa Tanzania ndo anaweza kumfanya mtu yeyote atoke kimaisha, let say umemaliza zako chuo uko mtaani au hata hujasoma soma vizuri akakupa ukuu wa mkoa
11. Rais wa Tanzania ndo anauwezo wa kusaini mtu afe au asife, kunyongwa,
12. Rais wa Tanzania ndo pekee anaweza kukufanya uiangalie post yako kabla hujaipost kama haina uchochez,
13. Ndo mtu pekee aliyelegezewa masharti na katiba , anaweza akafanya chochote mkadhan kakiuka katiba kumbe ukipata wafafanuzi wazuri wakakueleza unakuta upande mwingine wa katiba unamruhusu,
duh ongeza nyingine ,
Miaka ya 2050 mpaka 2100 watakao kuwepo watabidi kuliangalia suala ili,
hizo ndizo au ndo nguvu ya rais wa Tanzania