PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 13,296
- 42,812
Magari yote yametengezwa na wanadamu kasoro lazima ziwepoUmesahau kuandika mabaya yake
Magari yote yametengezwa na wanadamu kasoro lazima ziwepoUmesahau kuandika mabaya yake
Bongo mafundi uchwara wapo kila mahali hata kule ATCL wameajiri mafundi vishoka.Wakenya huwaambii kitu mbele ya Mazda. Ukiwa Nairobi CX5 zimetawala jiji na latest models nyingine. Huwezi kuta gari za miaka ya 80, 90 au 2000 kwa wingi kama bobgo. Labda sababu wana mafundi wazuri na wanaenda shule haswa na siyo kujifunzia uchochoroni.