Best home tutor Senior Member Joined May 8, 2026 Posts 194 Reaction score 265 May 28, 2026 #1 "Watu huwa wanadhani uzalendo ni kuitetea serikali iliyoko madarakani. Uzalendo ni kulitetea taifa kwa sababu serikali zinaingia na kutoka, lakini nchi iko pale pale." - Zitto Kabwe, Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo
"Watu huwa wanadhani uzalendo ni kuitetea serikali iliyoko madarakani. Uzalendo ni kulitetea taifa kwa sababu serikali zinaingia na kutoka, lakini nchi iko pale pale." - Zitto Kabwe, Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,265 Reaction score 14,519 May 28, 2026 #2 KWa mujibu wa fisiemu uzalendo ni kutetetea ukubwa wa kitambi chako na si vinginevyo