Ijue Liberia

Uhuru wa kweli lazima damu imwagike.. Tanzania tunaenda huku... Wacha watawala waendelee kutuona sisi wapumbavu tusiokuwa na thaman.. Dkk Moja inatosha kabisa kubadilisha historia
Maneno yako yana hekima kubwa sana lakini sio kwa viongozi wa nchi hii wanaodhani mabavu ndiyo suruhisho ila siku yaja haya uliyoyasema tutayakumbuka
 
Uhuru wa kweli lazima damu imwagike.. Tanzania tunaenda huku... Wacha watawala waendelee kutuona sisi wapumbavu tusiokuwa na thaman.. Dkk Moja inatosha kabisa kubadilisha historia
huu uchuro wako peleka kwa mama na baba yako
aheri tuendelee hivi hivi kuliko vita ya siku moja
 
Mitaa ya mablack tupu kwa jinsi isivyokalika huko marekani, hupati shida kujiuliza kwa nini Liberia ipo vile
 
Maneno yako yana hekima kubwa sana lakini sio kwa viongozi wa nchi hii wanaodhani mabavu ndiyo suruhisho ila siku yaja haya uliyoyasema tutayakumbuka
Hv yaliko mabavu hua hampajui kweli?yakija mabavu hapa tz hata kuingia hapa jf hatutaweza.tuseme tu upinzani wa kweli haujaja bado,kuna upinzani biashara.upinzani wa kweli hubadilishiwa msemo na kuitwa uasi,mfano ni kama kina Jonas Savimbi na Che Guevara
 
darasa fupi lakini la kushiba hili, sante sana mkuu
 
"no matter who wins... Liberia is crying out!
" no matter who loose... Liberia is still crying out!
"no matter who is wrong... We've got to stop the fight" peace in Liberia... Peace in Monrovia...

Alpha Brondy
Peace in Liberia, Peace in Monrovia...dah lazima ucheze huu wimbo wa mahadhi ya rege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…