Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,392
- 7,875
Virutubisho vilivyomo kwenye maiani ya Mchaichai.
- kwa kutumia chlorophyll aids iliyomo kwenye majani hayo hupenyeza hadi kwenye figo na hivyo kuanza kuondoa sumu mwilini.
Kuruhusu usagaji wa chakula.
- Kutokana na enzymes zilizomo kwenye majani hayo, husaidia mzuguko na usagaji wa chakula tumboni na upatikanaji wa choo kisafi.
- Hupuguza gasi tumboni kwa haraka zaidi, kwa kutumia hizi enzymes mtu aliye na vidonda vya tumbo hupona kwa haraka zaidi.
- Hizi enzymes pia husaidia kwa wingi mtu anyekos choo kupata choo kwa haraka zaidi.
- Hizi enzymes husaidia sana, kutuliza maumivu ya tumbo hata kwa wamama wenye maumivu ya tumbo wakati wa hedhi.
Kutokana na uchache wa calories zilizomo kwenye majani ya Mchaichai ni rahisi sana kusaidia
- Kupunguza mafuta na uzito kwa watu wasiopenda unene wa kupindukia.
- Na kufanya mwili kuwa Mwepesi wakati wote.
- Kwa kuwa kuna uchache wa calories kwenye majani haya upo uwezekano mkubwa wa majani haya kupunguza na kuondoa ugonjwa wa cholesterol kwenye mishipa ya damu kwa njia ya haraka zaidi hata kwa wale wenye hatua ya kuja pata cholesterol kwa kupunguza mafuta kwenye mishia ya damu.
- Kwa kunywa juce ya majani ya Mchaichai itakufanya kuongeza kinga mara dufu, ambazo zitakufanya kupambana na magonjwa nyemelezi katika mwili.
- Hizi chlorophyll molecule ambazo zimo kwenye majani haya zinauwezi mkubwa kuponesha na kutibu presha ya damu za aina zote iwe ya juu au ya chini kwa haraka zaidi kwa kustawisha presha kutulia katika standard yake.
- Majani haya pia hufanya damu kutembea vyema zaidi kwa kuzibua njia zilizobakwa na kuzuiliwa kupitisha damu.
- Majani haya pia yanaondoa matatizo ya akili na ubongo kwa kuboresha zaidi, mfumo wa ubongo kukumbuka na kutuliza matatizo ya hasira, kukosa utambuzi n.k
- Majani hayo pia yanauwezo wa asilimia 99% kusaidia watu wenye kisukari aina zote kwa uhakika.
- Pia ni tiba ya saratani ya matiti.
- Pia ni tiba ya kuongeza Cd4/8 kwa haraka zaidi.
- iron
- calcium
- enzymes
- magnesium
- phytonutrients
- 17 amino acids
- vitamins A, C, E, K,
- B complex
- chlorophyll
- proteins