Ijue ACT WAZALENDO kwa ufupi

Ijue ACT WAZALENDO kwa ufupi

1789747410029.png
 
Wasomi gani? Unajua cuf zanzibar ikinyakua viti vyote pemba? Na unguja? Hivi sasa ina wabunge 2 Zanzibar nzima? 2030 Act inapata 2% hata umakamu wanaukosa
Kwsn mwsk janau waliupata? Si kapewa tu
 
Wanasiasa wote matapeli tu,awe CDM,CCM,CHAUMA au ACT
.......Hakuna wote wanapambania maisha yao tu
 
ACT Wazalendo ni CCM B aka washirika muhimu wa CHAMADOLA.
 
Kwanza kuna tanzania alafu kuna zanzibar.

Pili chadema kwa navokumbuka toka 2010 wao hua hawatambui matokeo ya urais wala kumtambua rais, tafakari
 
Kwa nini roho yako haipendi kuona maridhiano??
 
Back
Top Bottom