Nakumbuka tukiwa wadogo tulikuwa tunakiita hiki anachokiondoa kwenye pua zake "MAKONDIKO" na ilikuwa tunaweka mdomoni baada ya kuondoa puani. Yana ladha ya chumvi chumvi. Sasa sijui na huyu jamaa ana mpango wa kutupia mdomoni?
Siwezi kumlaumu mpiga picha hata kidogo, unapokuwa kwenye Public domain lazima ujue ni jinsi gani unatakiwa kiji-handle. Jamaa kweli anashindwa kununua handkerchief ya shilingi 1000? Matokeo yake ni kutia aibu kuchokonoa ukoko wa kamasi mbele ya hadhira.