Ihi na hii nayo ni technique

smati

Senior Member
Dec 24, 2010
149
5
Nina rafiki wa kike, si mchumba wala hatuna seroius kitu. Kinacho nishangaza kila tukiongea ataongea mambo magumu kidogo. mfano Nimelala uchi, nimebakiza chupi tuu, jamani hivihutu tu sentence tunalengo gani. Juzi nikamwuliza vizuri kuhusu haya mambo ananiambia anashindwa kulala, kwa hiyo nisikate simu, nikikata ananipigia tena, tunarudi kwenye hapo hapo kwenye vichupi,etc.

mm hizi technique zinanitisha. nisaidieni wakubwa.
 
Nina rafiki wa kike, si mchumba wala hatuna seroius kitu. Kinacho nishangaza kila tukiongea ataongea mambo magumu kidogo. mfano Nimelala uchi, nimebakiza chupi tuu, jamani hivi hutu tusentence tuna tunalengo gani. Juzi nikamwuliza vizuri kuhuzu haya mambo anaimbia anashindwa kulala, kwa hiyo nisikate simu, nikikata ananipigia tena, tunarudi kwenye hapo hapo kwenye vichupi,etc.

mm hizi technique zinanitisha. nisaidieni wakubwa.

Punguza haraka wakati unaandika umesikia. Ukimaliza fanya (proof reading) kabla ya kupost maana duh

Halafu huyo mwenzio anaonyesha anajua mapenzi kuliko wewe hutamuweza
 
Punguza haraka wakati unaandika umesikia. Ukimaliza fanya (proof reading) kabla ya kupost maana duh

Halafu huyo mwenzio anaonyesha anajua mapenzi kuliko wewe hutamuweza

oohh, asante sana, nimerekebisha.
 
Wizi mtupu, nilishwahi kuwa na girlfriend wa namna hiyo, kwa kweli alikuwa ananicheat na jamaa. Sikutegemea kwa kweli
 
Kwa maelezo yako inaonyesha na wewe umekolea ila una hofu flani ndani yako au hujiamini fanya maamuzi sahihi kama unampenda na unaamini unaweza kuwa nae kwenye mahusiano wekaneni wazi ila kama huna mpango nae mchane live maana utajajikuta unaingia kwenye mtego nakufanya jambo ambalo utalijutia.
 
Nina rafiki wa kike, si mchumba wala hatuna seroius kitu. Kinacho nishangaza kila tukiongea ataongea mambo magumu kidogo. mfano Nimelala uchi, nimebakiza chupi tuu, jamani hivihutu tu sentence tunalengo gani. Juzi nikamwuliza vizuri kuhusu haya mambo ananiambia anashindwa kulala, kwa hiyo nisikate simu, nikikata ananipigia tena, tunarudi kwenye hapo hapo kwenye vichupi,etc.

mm hizi technique zinanitisha. nisaidieni wakubwa.

yaani bado hujamuelewa tu!!!!!!!!!!
 
Hiyo ni definition nyingine ya (fancy, admire, anakutaka) For sure she wants to be with you... She wants to be more than just a friend.
 
si kila mwanamke anayezungumzia ngono sana ni mala**, hilo jambo linaweza kukupa hofu kwa kuwa ni geni kwako lkn jaribu kuchunguza zaidi matendo na si maneno. Hiyo lugha anayozungumza kwako inakupa shaka lkn kwa aliyezoea ataona kawaida tu maana kwenye mahusiano hakuna kanuni ni jinsi nyinyi wawili mnavyowiana.
 
mkoleze na maongezihayo hayo ya kuvaa nepi.... kaa nae kiwanja uburudike nae(kama bajeti inaruhusu), anaweza kuwa kamapani pouwa....MWIKO...MWIKO..Kula tunda! utajenga hishima... ngoja nikazimue,ntarudi:twitch:
 
si kila mwanamke anayezungumzia ngono sana ni mala**, hilo jambo linaweza kukupa hofu kwa kuwa ni geni kwako lkn jaribu kuchunguza zaidi matendo na si maneno. Hiyo lugha anayozungumza kwako inakupa shaka lkn kwa aliyezoea ataona kawaida tu maana kwenye mahusiano hakuna kanuni ni jinsi nyinyi wawili mnavyowiana.
Usiingize mtu mkenge...anawaweza asiwe changudoa ila atakuwa anapenda ngono.. maongezi ya mtu yanalandana na tabia zake bana kwa asilimia kubwa...ushahidi ninao!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom