Nimeangalia TBC1 taarifa ya saa 2 usiku huu Dr.W.Slaa akihutubia kwenye mku5 wa kampeni polisi wakiwa hawana namba vifuani mwao. Je tukichukua hatua mkononi watajiteteaje?

Watanzania bana kwa uwongo! Eti nimeangalia TBC 1 Polisi hawana namba kifuani.
Hayo maneno kasema Dr Slaa, kwa mtu anaetizama TV uwezi kuona kama polisi hawana ana namba kifuani, unajifanya wewe ndio umeona!

Acha kamba wewe kwa taarifa yako namba za Polisi siku hizi zipo pembembeni ya mkono kwenye bega!
Ata mimi nimeangalia hiyo habari tena baada ya Dr Slaa, kuongea hayo maneno mtu wa kamera akamvuta Polisi kidogo uwezi kuona namba!