Majimbo ya Kisesa na Igunga yako Wilaya moja? Nataka tuu kufahamu Erasto Tumbo kama kwao ni Igunga
<br />Igunga wanataka Mwislamu tu, hawataki Mkristo. Hivi majority ya watu wa Igunga ni waislamu??
Majimbo ya Kisesa na Igunga yako Wilaya moja? Nataka tuu kufahamu Erasto Tumbo kama kwao ni Igunga
Waliochukua fomu hadi sasa ni
CHADEMA
1. Gideon Kwandu
2. Anwari Luhumbiza Kashaga
3. Erasto Tumbo, ambaye aliwahi kuwa Mbunge wa Kisesa, wilayani Meatu, kwa tiketi ya UDP
CCM
1. Amina Said Fundikira
2. Shamshu Ibrahim
3. Adam Kamange
4. Ngasa George.
CUF
1. Lucas Mahona aliwahi kuwania ubunge na kushindwa na Rostam kwenye uchaguzi uliopita.

UMESEMA KWELI Hahahaaaaa!...wenzetu kweli wakiona tu nywele za tofauti akili zinawaruka...lol!
Hivi huyo Shamshu ni mhindi? Kama ni mhindi basi ndiye atakayechukua. Watu wa Tabora ni kama wa morogoro na Singida wakiona rangi ya mhindi tu wanachanganyikiwa na logic zote zinapotea. Otherwise, Erasto Tumbo is a good choice
Si laima iwe kwao, sisi ni wa Tz Bwana. Kama watu wangeangalia kabila na mahali anapotoka mtu Chambiri mkurya asingechaguliwa Babati
hivi rostam alikuwa mwana igunga?
<br />Igunga wanataka Mwislamu tu, hawataki Mkristo. Hivi majority ya watu wa Igunga ni waislamu??
Mbona wewe unatuingilia mambo ya Arusha wakati wewe umeolewa uarabuni...Waachieni wana Igunga wenyewe wachague yule wampendae ambae wataona ataweza kuwawakilisha kwa kupeleka vilio vyao bungeni na kuleta maendeleo bora kwa jimbo hilo.
Watu wa Igunga tumieni busara zenu kupata kiongozi wenu Bora