Huo nimtazamo na mawazo yako finyo
Kashindye ashiriki kura za maoni na awe tayari kukubaliana na maamuzi ya vikao. Chadema sio mtu mm
Mkuu unahoja ya musingi sasa unaborongaborongo hoo mara kunambinu tupe hzo mbinu na nikinanani umewaona wapi au umewasikia wapi wakipanga hzo mbinu za Ku mchakachua mwalimu ndo maana nanuku hayo nimawazo yako na mtazamo wako vinyuuuu:thumbup::thumbdown:Hakuna unachokijua ni vema ukakaa kimya, na ninachokuomba uweke kumbukumbu zako vema kama Mwl. kashindye asipopitishwa uje tena hapa baada ya uchaguzi unlete majibu ya kitakachotokea na hapo ndipo tutajua mwenye mawazo finyu ni mimi au wewe.
Amekijenga chama .....sawa tunakubali kama usemavyo......ila kama ameshiriki kura za maoni na akishindwa,kama mwanademokrasia hana budi kukubaliana na matokeo..........jaribu kujiuliza kama wote waliopigania vyama ndo wapewe nafasi za kiuongozi kisa tu walikijenga kungekuwa na migogoro mingi sana. Uongozi ni kupokezana sio kulipana fadhila........amekijenga chama akubaliane na mchakato wa kura za maoni wengine ( inawezekana wana uwezo kuliko uliemtanabaisha) wampokee wasukume gurudumu la mabadiliko
Ikiwa uliyoandika ni ya kweli basi inashangaza wasiwasi wako ni nini? Kwa mujibu wako Mwl kashindye ndiye kajenga chama wilayani, amesaidia kushinda uongozo wa serikali za mitaa. Hawa ndiyo wapiga kura wake kwenye kura za maoni...sasa kinachokusumbua ni nini mpaka ulete uzi hapa ukikata rufaa kwa viongozi makao makuu hata kabla kura hazijapigwa?Hakuna unachokijua ni vema ukakaa kimya, na ninachokuomba uweke kumbukumbu zako vema kama Mwl. kashindye asipopitishwa uje tena hapa baada ya uchaguzi unlete majibu ya kitakachotokea na hapo ndipo tutajua mwenye mawazo finyu ni mimi au wewe.
Wanachama ndio waamuzi wa mwisho, wal ndio watachagua wanayemtaka. Hayo maneno ya BILA MWL KASHINJE ni ya kwako, ajipange, akifanya mchezo wanachama watamuweka pembeni.
Mimi nafikiri nyie mnaotoa hii michango hampo kwenye uwanja wa mapambano, mnaandika kwa hisia tu ninakuhakikishia ingawa mimi sio muumini wa watu wanao hama hama vyama lakini CHADEMA wakifanya kosa na Mwl. Kashindye akahamia chama kingine na kugombea matokeo mtayaona na wapo watakaokumbuka hiki nilichokiandika.
Kama anapendwa kweli kwa maelezo yako, then huna haja ya kuwa na wasiwasi. Nyie mpitisheni kura za maoni tu.
Mimi nafikiri nyie mnaotoa hii michango hampo kwenye uwanja wa mapambano, mnaandika kwa hisia tu ninakuhakikishia ingawa mimi sio muumini wa watu wanao hama hama vyama lakini CHADEMA wakifanya kosa na Mwl. Kashindye akahamia chama kingine na kugombea matokeo mtayaona na wapo watakaokumbuka hiki nilichokiandika.