- C'moon bro for the last ten years unaweza kutuambia ulikuwa unafanya kazi gani zaidi ya siasa??????? - Huo mstari wa kuganga njaa siuungi mkono lakini hili la siasa kutokuwa ajira yako nadhani unatuongopeaWAGANGA NJAA UNAWAJUA? MAANA HUMU NDANI KILA KITU NAPE ANAGANGA NJAA, KWA TAARIFA SINA NJAA KIASI HICHO, HATA NIKIKAA TU NIKAFANYA KAZI ZANGU MWENYEWE BADO NAWEZA ISHI TENA MAISHA MAZURI PENGINE KULIKO WENGI WANAONIKASHIFU HUMU NA KUDAI NAGANGA NJAA...... NIMEACHIWA URITHI NA MZEE NNAUYE SIO WA PESA BALI ELIMU TENA YAKUTOSHA TU....
SIASA KWANGU NAFANYA KAMA HOBI SI AJIRA HATA KIDOGO...
Not everyone who challenges u au CCM ni magwanda, kifupi it's pple against CCMMAGWANDA WENGINE POLENI SANA SANA
MAAANA HUMU MSIPOMTAJA NAPE WENGINE HAMLALI.... N
Habari ya Nape kukatazwa kwenda Igunga iliandikwa kwenye magazeti chanzo kikiwa hukohuko kwenye NEC/CC ya CCM.NIMEKWENDA IGUNGA TOFAUTI NA MLIVYOBWATA HUMU NAPE HAENDI IGUNGA
Mkuu usiwasingizie JF hii imetolewa na MwanaHalisi, gazeti ambalo uko in records kuliita la udaku na kwamba hakuna mtu serious analisoma....MKATUNGA STORI KAVAMIWA SIJUI NA BAUNSA
- Sasa hiyo ungemwambia huyo baunsa wakati uleSIJUI NA MAGWANDA, THUBUTU YAKE HAPA TUNGEKUWA TUKIZUNGUMZA MENGINE KABISA, KAMA ANGEPATIKANA HATA WA KUGUSHA KAMBA YA VIATU
- Ebanae wewe si ndiyo ulisema chama chenu huwa hakipeleki viongozi wa kitaifa kupiga kampeni kama vyama pinzani? Mbona unakula matapishi yako?????JUZI TU NILIKUWA IGUNGA, NA HIVI WIKI IJAYO NAKWENDA TENA IGUNGA
- Duh!!! Mkuu sasa yule fisadi wenu mkuu si ndiye alikuwa hai tebo wakati wa uzinduzi wa kampeni? Kumbuka ile siti ilikuwa ni yakoNAJUA KINACHOWAUMA NI KUINGIA KWANGU NA KUTOKA KWANGU BILA MAFISADI KUJUA
- Hawa unaowaita mafisadi na wewe ni mmojawapo wa wakuu wa chama kinachounda serikali mmewachukulia hatua gani????HILI NINAHAKIKA LINAWAPASUA KICHA SANA, NA BADO.... JAMBO ZURI NIMEFANIKIWA KUWANYIMA USINGIZI MAFISADI
Siasa unafanya kama HOBI ? Hivi una washauri wewe kabla ya kuongea kwenye umma? Au unashirikisha ubongo kwanza?
Watu wanaingia kwenye siasa kwa ajili ya utumishi WA UMMA/ kuwatumikia wananchi,kumaliza kero zao , kuwaondolea shida zao na manyanyaso na kufanya maisha yao yawe bora. Wewe unafanya hobi ??!!! kudadeki CCM ...
Uzuri mmoja wa viongozi wa CCM hata wakitofautiana, kinachoamuliwa kwenye vikao vyao ndicho kinachotekelezwa. Ambaye haafiki maamuzi yale anakaa kimya au anaendelea na shughuli zingine kama anavyofanya Nape sasa. Kule CHADEMA ni tofauti kidogo. Maamuzi yanafanyika na ambao hawakuafiki wanaita waandishi wa habari na kuwaeleza msimamo wao. Hili amelifanya Zitto kisha akalifanya pia Shibuda kwa nyakati na staili tofauti. Ipi ni njia sahihi ni suala la mjadala mpana.
...... NIMEACHIWA URITHI NA MZEE NNAUYE SIO WA PESA BALI ELIMU TENA YAKUTOSHA TU....
SIASA KWANGU NAFANYA KAMA HOBI SI AJIRA HATA KIDOGO...
Nape mwacheni jamani nilishawahi kushauri mmwache tu,unaona kama leo anasema anafanya siasa kama hobi,hivi kweli siasa ni hobi?hivi hobi ni nini?basi kama kweli anafanya siasa kama hobi ndo maana nchi wanaiangamiza yeye na mafisadi wenzie,unafiki tu huo anaotuambia,hakuna cha hobi wala interest,hapo yeye ndo halali anauwaza uwaziri 2015,lakini namwambia hivi hakuna atakachoambulia maana kama mtachakachua tutaandamana kuwatoa,nguvu ya umma ipo itafanya kazi,ninyi tunajua mnategemea polisi,na ikibidi mtatumia jeshi,nynyi tu mtapanga,lakini kumbe mnafanya siasa kama hobi,wewe dogo kumbe hopless kiasi hicho na ndo maana the country is out pilot.coz mnafanya siasa kama hobi!hamjui mnachezea uhai wa watu?
Halafu unsema umewanyima usingizi mafisadi,halafu we Nape shika adabu yako kabisa,nilishakuambia kupitia JF huna uwezo wa kumtoa lowasa na mzee wa vijisenti-Chenge,hakuna mtu ndani ya CCM anaweza akasimama hadharani na kusema Lowasa ni gamba toka CCM,Nasema tena wana JF hakuna mtu wa kuweza kufanya hivyo,jamani hakuna,Ni Dr Slaa tu ndo alithubutu kutaja list of shame.
Leo Nape unatuongopea hapa,una kitu gani unaweza kufanya kwa hawa magamba yenu?hata wewe ni gamba,nani atamfunga paka kengele?chama chenu wote ni magamba na kipimo ambacho hakihitaji mtu kuwa na digrii kukijua ni wewe kutoenda Igunga na kupanda jukwaani kupiga kampeni,wala Sita hatokanyaga,haya mambo ndo kipimo tosha kwa watanzania kujua ninyi na chama chenu wote ni magamba,nani atamvua mwenzie?
Endelea tu kutumia carolite ndicho kilichobakia kwako huku ukinyonya jasho la watanzania.
Halafu eti huyo ndiyo Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Taifa kwa Chama Tawala. Pata picha jee hicho ni chama kweli? kama Mtu mwenye cheo hicho ni mbumbumbu kiasi hicho jee hao watendaji wengine ndani ya hicho chama wakoje?Siasa unafanya kama HOBI ? Hivi una washauri wewe kabla ya kuongea kwenye umma? Au unashirikisha ubongo kwanza?
Watu wanaingia kwenye siasa kwa ajili ya utumishi WA UMMA/ kuwatumikia wananchi,kumaliza kero zao , kuwaondolea shida zao na manyanyaso na kufanya maisha yao yawe bora. Wewe unafanya hobi ??!!! kudadeki CCM ...
Halafu eti huyo ndiyo Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Taifa kwa Chama Tawala. Pata picha jee hicho ni chama kweli? kama Mtu mwenye cheo hicho ni mbumbumbu kiasi hicho jee hao watendaji wengine ndani ya hicho chama wakoje?
Tunampa nafasi Nape atoe maoni yake kama tunavyofanya kwa viongozi wengine wa kisiasa walio ma-member humu kama Dr Slaa, Zitto, Mnyika,...., au ni kumshambulia kila anapoonyesha pua yake humu. Ninachokiamini kwa huyu kijana ni kuwa anapambana na mambo mazito sana ndani ya CCM. Kila akijaribu kutoka apate maoni na michango yenu mnamtoa mkuku humu. Mnamhesabia dhambi zooote za CCM hata zilizotendeka kabla hajazaliwa! Tutake tusitake CCM tunayo kwa kipindi kirefu tu kijacho hadi itakapopasuka na kumpata Sata wetu.