KELVIN GASPER
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,066
- 454
Namshauri awe makini na Nchema, anaweza kumkazia mkewe, Maria.
Ndiyo magamba yalivyo kwani yanafanya mambo kimaajabuajabuyaani ni ajabu na kweli ushinde igunga mapokezi yawe dar kwani yeye ni mbunge wa jimbo la dar (chini ya masaburi)??
Siasa za bongo.Amewaacha wananchi wake Igunga, anafanyiwa sherehe dar.
Huo ni upuuzi.
..Sidhani kama Kukaa kwake Dar kunaweza kuathiri Ubunge wake!!!..Tukianza kujadili nani anakaa wapi kwa hawa waheshimiwa wetu sidhani hata kwa CDM kama watakuwa salama??..Ilimradi anapata muda wa kulitembelea Jimbo lake na Mjengoni anakuwa active inatosha!!
Wakati mwingine tusiwe skeptical na issues ambazo hazina Tija...kwa wabunge wa Tanzania Dar es Salaam ndio kila kitu manake vikao na kila kitu vipo Dar..sasa kila siku atakuwa mtu wa kulala Guest House???...ni busara kwa Mbunge kuwa na makazi Dar!!!