IGP Sirro: Watanzania sasa tushirikiane kukomesha uhalifu kwa pamoja, atoa salamu kwa wahalifu wote

Leo baada ya kamanda Simon sirro kuapishwa kuwa IGP ametoa onyo kwa wahalifu wote wanaendelea kufanya mambo ya ajabu
"Watanzania sasa tushirikiane kukomesha Uhalifu kwa pamoja, atoa salamu kwa wahalifu wote" asema kamanda Sirro
Sasa wale wauaji wa Kibiti na sehemu nyingine mjiandae Kamanda amekuja tena.
Nchi zote duniani raia hushirikiana Na polisi ili kupunguza uhalifu . Tatizo la hapa kwetu tumeambiwa tuliogope jeshi la polisi Na mkuu sasa utaenda kutoa ushirikiano kwa mtu unayemuogopa. ( refer baba Bashite "Nataka jeshi la polisi liogopewe Na raia Kama ilivyo jwtz " ).huwezi kumpa ushauri au kwenda kupeleka habari kwa baba ikiwa baba Ni mkali.
 
Alete umoja kati ya RAIA wa kawaida na askari. Baadhi ya sehemu hapa Tz askari ni tatizo gumu na kubwa kwa RAIA. Ni uhasama daily pia askari wajitafakari upya. Mnakosa baadhi ya taarifa mhimu kutokana na tabia zenu mbaya kwa RAIA wema. Hamna siri, mnapenda snaaaaaa rushwa, waonevu, wanyanyasaji, wauaji wa RAIA wema, mnabambikiza kesi, a few to mention. Jilekebisheni kwa hayo na mengine ili kuleta umoja wa kitaifa.
 
Kama Polisi wakiendelea onea watu, watu wataficha waharifu
 
Msione polisi wanauawa RAIA wanafurahia lazma mwenye hekima na busara ajiulize kuna nn? Jeshi la Polisi natoa rai badlken. Tunawashukuru sana kwa kutulinda cc na mali zetu ila kuna pahala nanyi mmeteleza sana.
 
Leo baada ya kamanda Simon sirro kuapishwa kuwa IGP ametoa onyo kwa wahalifu wote wanaendelea kufanya mambo ya ajabu.

"Watanzania sasa tushirikiane kukomesha Uhalifu kwa pamoja, atoa salamu kwa wahalifu wote" asema kamanda Sirro.

Sasa wale wauaji wa Kibiti na sehemu nyingine mjiandae Kamanda amekuja tena.

680b2956025dd1a745e857a89eb66542.jpg

Sina wasiwasi nae hata kidogo hasa nikiamini kuwa Mtu yoyote wa kutoka Kombania A iliyotukuka ya kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) katika Masuala mazima ya Ulinzi na Usalama huwa hawatanii na sasa Wahalifu wote mliopo Tanzania mjipange kwani MWANAMUME kutoka Mkoani Mara IGP Simon Sirro kakibidhiwa Jeshi.

Uzomirye Mwetu Sirro. Nakuamini na nakukubali mno tu na hakika Rais Dkt. Magufuli sasa kapata IGP na siyo kile Kituko kilichokuwepo.
 
Kwenye red, hivi hapo kabla hakukuwa na ushirikiano? Yeye alijuaje kama viwanja vingine havikuwa na ushirikiano kwani hakuwa mkuu wa viwanja vyote bali kimoja tu?
 
Swali la kwanza ambalo siro anatakiwa kujiuliza ni kwa nini police akifa kivyovyote achilia mbali kuuawa raia hufurahia.

Akipata jibu hapo hilo la kibiti ni dogo sana la sivyo yatamshinda kama mwenzake Ernest Mangu.

Sote tunajua uadui uliopo kati ya raia na police na uadui uliopo kati ya police na raia
e1eac2e4281452be788d1d03440c53b0.jpg
 
Swali la kwanza ambalo siro anatakiwa kujiuliza ni kwa nini police akifa kivyovyote achilia mbali kuuwawa raia hufurahia
Akipata jibu hapo hilo la kibiti ni dogo sana la sivyo yatamshinda kama mwenzake ernest mangu
Sote tunajua uadui uliopo kati ya raia na police na uadui uliopo kati ya police na raia
e1eac2e4281452be788d1d03440c53b0.jpg
Kituko juu ya kituko
 
Nchi zote duniani raia hushirikiana Na polisi ili kupunguza uhalifu . Tatizo la hapa kwetu tumeambiwa tuliogope jeshi la polisi Na mkuu sasa utaenda kutoa ushirikiano kwa mtu unayemuogopa. ( refer baba Bashite "Nataka jeshi la polisi liogopewe Na raia Kama ilivyo jwtz " ).huwezi kumpa ushauri au kwenda kupeleka habari kwa baba ikiwa baba Ni mkali.
Popote pale duniani huwezi kufanya polisi waogopwe kwa sababu polisi ni sehemu ya shughuli za kiraia za kila siku(civilian policing), hivyo kwa vyovyote polisi watabaki kuwa polisi na changamoto za polisi zitakuwa hivyo kwa sababu ya mazingira yao ya kazi ni kwenye makazi ya watu.

Ingekuwa kwenye nchi zinazochunguza na kupima kauli za wanaoitwa viongozi kauli kama hiyo ingetosha bunge na wanaharakati kumshinikiza ajiuzuru kwa sababu kauli ina viashiria vya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na ni kauli ya kichochezi.
 
Mmeishaanza
 
Sina wasiwasi nae hata kidogo hasa nikiamini kuwa Mtu yoyote wa kutoka Kombania A iliyotukuka ya kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) katika Masuala mazima ya Ulinzi na Usalama huwa hawatanii na sasa Wahalifu wote mliopo Tanzania mjipange kwani MWANAMUME kutoka Mkoani Mara IGP Simon Sirro kakibidhiwa Jeshi.

Uzomirye Mwetu Sirro. Nakuamini na nakukubali mno tu na hakika Rais Dkt. Magufuli sasa kapata IGP na siyo kile Kituko kilichokuwepo.
Sio UZOMIRYE ni Ozomirye usihalibu lugha za watu otherwise kama unaongea kiikizu
 
Leo baada ya kamanda Simon sirro kuapishwa kuwa IGP ametoa onyo kwa wahalifu wote wanaendelea kufanya mambo ya ajabu.

"Watanzania sasa tushirikiane kukomesha Uhalifu kwa pamoja, atoa salamu kwa wahalifu wote" asema kamanda Sirro.

Sasa wale wauaji wa Kibiti na sehemu nyingine mjiandae Kamanda amekuja tena.

680b2956025dd1a745e857a89eb66542.jpg

Tupatieni tafsiri ya kila kikolokolo alichovaa hapo
 
Back
Top Bottom