IGP Sirro: Watanzania sasa tushirikiane kukomesha uhalifu kwa pamoja, atoa salamu kwa wahalifu wote

Kaongea mambo meoesi sana..he is not focused not stratergic..yaani mambo aliyoongea ni ya kuongea mkuu wa kituo huku mbezi kwa yusufu sio IGP
 
Leo baada ya kamanda Simon Sirro kuapishwa kuwa IGP ametoa onyo kwa wahalifu wote wanaendelea kufanya mambo ya ajabu.

"Watanzania sasa tushirikiane kukomesha Uhalifu kwa pamoja, atoa salamu kwa wahalifu wote" asema kamanda Sirro.

Sasa wale wauaji wa Kibiti na sehemu nyingine mjiandae Kamanda amekuja tena.

680b2956025dd1a745e857a89eb66542.jpg
Hivi kwani unafikiri kutoweka kwa amani Mkuranga, Rufiji, Ikwiriri na Kibiti ni tatizo litakalomalizwa kwa kauli za kibabe za Sirro? Hivi hata mpaka sasa si ubabe mwingi tu na matumizi ya nguvu vimekwishafanywa na polisi huko dhidi ya raia?
 
Leo baada ya kamanda Simon Sirro kuapishwa kuwa IGP ametoa onyo kwa wahalifu wote wanaendelea kufanya mambo ya ajabu.

"Watanzania sasa tushirikiane kukomesha Uhalifu kwa pamoja, atoa salamu kwa wahalifu wote" asema kamanda Sirro.

Sasa wale wauaji wa Kibiti na sehemu nyingine mjiandae Kamanda amekuja tena.

680b2956025dd1a745e857a89eb66542.jpg
Sawa, sisi tutampa ushirikiano,lakini adhibiti askari wake,askari ni sehemu ya tatizo
 
Leo baada ya kamanda Simon Sirro kuapishwa kuwa IGP ametoa onyo kwa wahalifu wote wanaendelea kufanya mambo ya ajabu.

"Watanzania sasa tushirikiane kukomesha Uhalifu kwa pamoja, atoa salamu kwa wahalifu wote" asema kamanda Sirro.

Sasa wale wauaji wa Kibiti na sehemu nyingine mjiandae Kamanda amekuja tena.

Kazi imeanza Kamanda Sirro
 
Popote pale duniani huwezi kufanya polisi waogopwe kwa sababu polisi ni sehemu ya shughuli za kiraia za kila siku(civilian policing), hivyo kwa vyovyote polisi watabaki kuwa polisi na changamoto za polisi zitakuwa hivyo kwa sababu ya mazingira yao ya kazi ni kwenye makazi ya watu.

Ingekuwa kwenye nchi zinazochunguza na kupima kauli za wanaoitwa viongozi kauli kama hiyo ingetosha bunge na wanaharakati kumshinikiza ajiuzuru kwa sababu kauli ina viashiria vya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na ni kauli ya kichochezi.
Pamoja na kujipendekeza kwa gharama ya juu sana kwa hao polisi wa nchi dunia ya kwanza,bado wamekuwa wakiogopwa,(urafiki wa mashaka).huwezi jenga urafiki na polisi ni kama kufuga simba sebureni,ipo siku atakumbuka kurarua.

Ninachoona ugumu zaidi wa hili,ni kwamba wao wanaamini ukiwataka utawafuata bila kupenda,lakini wao hawana shida na wewe.sasa labda tungeanza kulowanisha huo mtizamo kwanza then tuone kwingine.
 
Ulitaka kusema nini?
 
Ulitaka kusema nini?
Yaani polisi hagomewi,labda kwa matatizo ya jirani yako,Ila ya kwako utaenda kumuomba huduma tu.hili linampa kiburi na kuona kama hana haja ya kutafuta ukaribu na mwananchi.

Wakati huo huo mwananchi hawaamini kama polisi anaweza kuwa rafiki yako hata 40%.kulingana na nature kwamba utakapokuwa mharifu,hatazingatia urafiki wenu tena.
 
Leo baada ya kamanda Simon Sirro kuapishwa kuwa IGP ametoa onyo kwa wahalifu wote wanaendelea kufanya mambo ya ajabu.

"Watanzania sasa tushirikiane kukomesha Uhalifu kwa pamoja, atoa salamu kwa wahalifu wote" asema kamanda Sirro.

Sasa wale wauaji wa Kibiti na sehemu nyingine mjiandae Kamanda amekuja tena.

Mpaka 2020,wasukuma watajaa serikali nzima
 
Hongera zake sana, Maneno mazuri ya kutia Moyo na kurudisha Jeshi la Polisi kwa Raia. Ombi langu moja tu kwake. Tumeshuhudia na kuona wengi wa wateule, wanakuwa Wazuri sana wakiwa nje, wakishaingia ndani, wanakuwa watu wengine kabisa, Mifano ni mingi, nikianzia kwa MwendaPole, .... Afanye kazi kwa Uaminifu, weledi na kubwa awe Fair.

Back
Top Bottom