johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,868
- 145,932
Wahuni tu ninyi.Mlikuwa mnakaa porini mkiwaona Iringa girls mnajikojolea!ππππKumbe Sirro Tosa boy mwenzetu?!!
Aisee lile skonga limetutoa wajuba wengi sana.
ππππ πWahuni tu ninyi.Mlikuwa mnakaa porini mkiwaona Iringa girls mnajikojolea!ππππ
Baba zenu tulikuwa pale Mkwawa.ππππππππ π
Tulikuwa tunawaita zoo.
The Highlands naikumbuka daimaWahuni tu ninyi.Mlikuwa mnakaa porini mkiwaona Iringa girls mnajikojolea!ππππ
Mkwawa walugaluga walikuwa wengiBaba zenu tulikuwa pale Mkwawa.ππππ
Mmh ulisoma na Magu nini maana mimi nilienda Tosa miaka ile aliyopita Zitto Kabwe sema alinitangulia miaka kidogo.Baba zenu tulikuwa pale Mkwawa.ππππ
Hahaaa.Duh! Lyalamo primary shule yangu jirani pale, tulikua tunawasogezea mademu mabroh!.Tosa boys ndo nilijifunzia kikapu uwanja wao ule wa lamiπ€£ Nakumbuka mengi