IGP Simon Sirro azungumzia kuhusu Kibiti, kutekwa watoto na shambulio la Lissu na ofisi za IMMMA

Tuhuma ni nzito ila wahusika wameamua kukaa kimya mpaka sasa wakati huwa hawachelewi kujibu au kutolea ufafanuzi baadhi ya tuhuma zinazoelekezwa katika ofisi hiyo.

Je, ndio tuelewe silence means yes?

Au wanaona wakijibu ndio habari hiyo itajulikana kwa wengi zaidi?

Je, wameipuuza tu?

Unaweza kweli kupuuza tuhuma nzito kama hiyo?

Wanaandaa majibu?

Kama wanaandaa majibu,kwanini yachukue muda wote huo ili hali ofisi haihusiki?
 
Ukiona kobe kainama ujue anatunga sheria.
Siku atakayokuja kujibu yule bwana sitaki hata kusikia kabisa! (Najua sitaweza kula wiki nzima)
Nadhani hata viziwi watasikia na wafu watafufuka hiyo siku ikifika......
Atarusha mikono nakukaza matamshi ki kwao kabisa, utadhani anaswaga ng'ombe. Ki ukweli waliomuweka pale hawakutumia busara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamejibu sema majibu yameshtukiwa. Waliingia studio wakaja na movie ya mtu aliyepigwa risasi. Watazamaji makini wakagundua mgonjwa hana kidonda wala jeraha lolote.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Anasubiri TL akija atasema nini ili ajichanganye vizuri

Mbona waraka wa kujibu ulishaandaliwa na Bashite ila unapita kwa wakuu mbalimbali wakague na kuongeza kwa kilichoandikwa ili wananchi tusione makosa
 
Back
Top Bottom