IGP & RPC Kagera ondoa pandikizi huyu

IGP & RPC Kagera ondoa pandikizi huyu

baina

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
219
Reaction score
60
Ndugu IGP pamoja na RPC wa kagera naomba mujue kuwa katika ofisi ya RCO kagera kuna askari polisi anaitwa Chris ambaye napenda niwahakikishie kuwa huyu jamaa ni mnyarwanda 100%, na alijiunga ktk jeshi kwa kazi moja tu ya ukachero.Mimi ninayeandika haya ni mtu ninayemfahamu sana huyu jamaa, naye ananifahamu sana kwani sote tunatokea rwanda, na kwetu ni rwanda japo yeye kuna kipindi aliwahi kuishi karagwe, nafikiri huo ulikuwa ni mtandao wa kumwingiza ktk dola la tanzania. Nimewahi kukuandikia barua wewe IGP yapata kama miaka 2 hivi lakini sijui uliipata au hukuipata?, Jamii forums kuna ukweli japo tunajificha kwa majina ili kujinusuru. Sasa kama wewe IGP/RPC kagera una membership humu, niulize swali lolote nami nitakujibu. Kwakuwa niliandika barua na hamkujishughulisha ku-deal na suala ili nimeona niliweke uchi mbele ya watanzania. Huyu jamaa ni mrefu hivi, na ninajua mtafahamu.

TANZANIA KWANZA RWANDA BAADAE.
 
Mkuu baina safi sana.
Sikutegemea kutoa ukweli huo, nawe umeutoa kwa mapenzi na taifa letu Tanzania.
Mwisho wa thread yako ndio kabsaa umenikuna, kwamba Tanzania KWANZA Rwanda BAADAE.

Naimani makachero wa Polisi na TISS tunao humu, na watakusikia na kufanyia kazi hususan katika kipindi hiki cha mtifuano wa uhamiaji haramu.

Nimependa uzalendo wako japo ni Mnyarwanda, karibu muungwana!
 
Last edited by a moderator:
Ipo siku tutalia sana mtikila kaongea sana kuhusu hawa kokrochiz wa rwanda kwenye vyombo vya dora mi mwenyewe nawafahamu wanyarwanda kibao wengine walimu wakuu wa shule nendeni ninyi maspy mikoa ya Rukwa , Katavi na kigoma wapo kibao
 
Katika hili la uhamiaji haramu nidhanivyo itumike busara kuratibu zoezi husika kwa maana ninaanza kuhisi chuki binafsi kujipenyeza na kuumiza waliopo na wasiokuwepo!
 
kuna wanyarwanda kibao wako kwenye system ya Tanzania hata sijui mtawatoaje?..
 
Ndugu IGP pamoja na RPC wa kagera naomba mujue kuwa katika ofisi ya RCO kagera kuna askari polisi anaitwa Chris ambaye napenda niwahakikishie kuwa huyu jamaa ni mnyarwanda 100%, na alijiunga ktk jeshi kwa kazi moja tu ya ukachero.Mimi ninayeandika haya ni mtu ninayemfahamu sana huyu jamaa, naye ananifahamu sana kwani sote tunatokea rwanda, na kwetu ni rwanda japo yeye kuna kipindi aliwahi kuishi karagwe, nafikiri huo ulikuwa ni mtandao wa kumwingiza ktk dola la tanzania. Nimewahi kukuandikia barua wewe IGP yapata kama miaka 2 hivi lakini sijui uliipata au hukuipata?, Jamii forums kuna ukweli japo tunajificha kwa majina ili kujinusuru. Sasa kama wewe IGP/RPC kagera una membership humu, niulize swali lolote nami nitakujibu. Kwakuwa niliandika barua na hamkujishughulisha ku-deal na suala ili nimeona niliweke uchi mbele ya watanzania. Huyu jamaa ni mrefu hivi, na ninajua mtafahamu.

TANZANIA KWANZA RWANDA BAADAE.

kwanini umeamua kumtaja ??
 
Nijuacho, kwamba wanapobainika kuwa ni majasusi waliopandikizwa na wakabainika...hupotezwa tu.
 
wanyarwanda wako wengi mpaka tumeoana.Mkuu we wataje tu maana wapo.
 
kwanini umeamua kumtaja ??

Nimemtaja kwa sababu ni mwmihaji haramu, achia mamlaka husika zifatilie na kama zitakwenda hewani kutolea majibu suala ili ndo utajua ni kweli au si kweli. Amini husiamini mambo yako nilivyoyaleta ktk post yangu. Na kama unamfahamu, muulize kwao ni wapi, mwambie karagwe ulikuja lini. Hata hivyo polisi si ni wepesi wa kudeal na data za jf kama zile za rwakatare?, basi hii wadeal nayo, na kwa hili natoa 100% ya ukweli.
 
Mkuu baina safi sana.
Sikutegemea kutoa ukweli huo, nawe umeutoa kwa mapenzi na taifa letu Tanzania.
Mwisho wa thread yako ndio kabsaa umenikuna, kwamba Tanzania KWANZA Rwanda BAADAE.

Naimani makachero wa Polisi na TISS tunao humu, na watakusikia na kufanyia kazi hususan katika kipindi hiki cha mtifuano wa uhamiaji haramu.

Nimependa uzalendo wako japo ni Mnyarwanda, karibu muungwana!

Hao ulio wataja, labda uwaambie CHADEMA wana panga kufanya mikutano Bukoba ndio Ushushushu wao utafanya kazi. Vinginevyo tusubiri kushughulikiwa ipasavyo.
 
Ndugu IGP pamoja na RPC wa kagera naomba mujue kuwa katika ofisi ya RCO kagera kuna askari polisi anaitwa Chris ambaye napenda niwahakikishie kuwa huyu jamaa ni mnyarwanda 100%, na alijiunga ktk jeshi kwa kazi moja tu ya ukachero.Mimi ninayeandika haya ni mtu ninayemfahamu sana huyu jamaa, naye ananifahamu sana kwani sote tunatokea rwanda, na kwetu ni rwanda japo yeye kuna kipindi aliwahi kuishi karagwe, nafikiri huo ulikuwa ni mtandao wa kumwingiza ktk dola la tanzania. Nimewahi kukuandikia barua wewe IGP yapata kama miaka 2 hivi lakini sijui uliipata au hukuipata?, Jamii forums kuna ukweli japo tunajificha kwa majina ili kujinusuru. Sasa kama wewe IGP/RPC kagera una membership humu, niulize swali lolote nami nitakujibu. Kwakuwa niliandika barua na hamkujishughulisha ku-deal na suala ili nimeona niliweke uchi mbele ya watanzania. Huyu jamaa ni mrefu hivi, na ninajua mtafahamu.

TANZANIA KWANZA RWANDA BAADAE.

Ndugu yangu baina tatizo lako ni lipi? Kam unataka uraia si uombe utapata tu! Kumtaja jamaa itakusaidia nini? Kwani niwa ngapi watu wapo kwenye system hata tangu za Nyerere na wanafanya kazi kwa manufaa ya taifa letu ingawani wageni tu. Wewe unajua ni wangapi kutoka nchi za jirani ambao wanaisaidia TZ katika mambo mengi ya kiulinzi? Jaribu kutafuta kitu kingine cha kuandika na usilete ugonvi wako wa mitaani hapa JF
 
kwanini umeamua kumtaja ??

Niko hapa biharamulo naona wanavyokamatwa hawa wanyarwanda basi hana budi na yeye kukamatwa kwani hao ndio wanao dhohofisha jeshi letu hususan mkoa wa kagera. Ameamua kumtaja ili taifa lijue na kua makini na askari kama hao wala sio kwamba anamchukia.
 
Wanabodi wote,
Nimefurahishwa na hatua ya Baina ya kumtaja mmoja wa wanyarwanda huko Kagera. Bila kujali ukweli au uongo wa tuhuma hizi kwa muhusika, lakini ni mwanzo mzuri wa kuanza kuwatambua wanyarwanda waliopo kwenye taasisi zetu. Kama tulivyofanya kwa madawa ya kulevya, basi na hapa tuwataje watu wote tunaohisi kwamba ni wanyarwanda ndani ya taasisi zetu ili kuisadia serikali kushughulika nao. Hawa ni watu tunaishi nao kabisa. Tufanye hivyo kwa usalama wa nchi yetu.

[h=2]
user-online.png
baina[/h][h=2]Igp & rpc kagera ondoa pandikizi huyu.[/h]
Ndugu IGP pamoja na RPC wa kagera naomba mujue kuwa katika ofisi ya RCO kagera kuna askari polisi anaitwa Chris ambaye napenda niwahakikishie kuwa huyu jamaa ni mnyarwanda 100%, na alijiunga ktk jeshi kwa kazi moja tu ya ukachero.Mimi ninayeandika haya ni mtu ninayemfahamu sana huyu jamaa, naye ananifahamu sana kwani sote tunatokea rwanda, na kwetu ni rwanda japo yeye kuna kipindi aliwahi kuishi karagwe, nafikiri huo ulikuwa ni mtandao wa kumwingiza ktk dola la tanzania. Nimewahi kukuandikia barua wewe IGP yapata kama miaka 2 hivi lakini sijui uliipata au hukuipata?, Jamii forums kuna ukweli japo tunajificha kwa majina ili kujinusuru. Sasa kama wewe IGP/RPC kagera una membership humu, niulize swali lolote nami nitakujibu. Kwakuwa niliandika barua na hamkujishughulisha ku-deal na suala ili nimeona niliweke uchi mbele ya watanzania. Huyu jamaa ni mrefu hivi, na ninajua mtafahamu.

TANZANIA KWANZA RWANDA BAADAE.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/507319-igp-and-rpc-kagera-ondoa-pandikizi-huyu.html

Just curious to know,wewe umesema huyo jamaa mnajuana coz mmetoka wote rwanda so it means wote ni wanyarwanda. Je,kwa nini unamchomesha mwenzako? Je una mapenzi gani na tz zaidi ya rwanda hadi useme tz kwanza rwanda baadae? Remember we a great thinkers na hata wasiwasi ni akili.
 
Wanabodi wote,
Nimefurahishwa na hatua ya Baina ya kumtaja mmoja wa wanyarwanda huko Kagera. Bila kujali ukweli au uongo wa tuhuma hizi kwa muhusika, lakini ni mwanzo mzuri wa kuanza kuwatambua wanyarwanda waliopo kwenye taasisi zetu. Kama tulivyofanya kwa madawa ya kulevya, basi na hapa tuwataje watu wote tunaohisi kwamba ni wanyarwanda ndani ya taasisi zetu ili kuisadia serikali kushughulika nao. Hawa ni watu tunaishi nao kabisa. Tufanye hivyo kwa usalama wa nchi yetu.

[h=2]
user-online.png
baina[/h][h=2]Igp & rpc kagera ondoa pandikizi huyu.[/h]
Ndugu IGP pamoja na RPC wa kagera naomba mujue kuwa katika ofisi ya RCO kagera kuna askari polisi anaitwa Chris ambaye napenda niwahakikishie kuwa huyu jamaa ni mnyarwanda 100%, na alijiunga ktk jeshi kwa kazi moja tu ya ukachero.Mimi ninayeandika haya ni mtu ninayemfahamu sana huyu jamaa, naye ananifahamu sana kwani sote tunatokea rwanda, na kwetu ni rwanda japo yeye kuna kipindi aliwahi kuishi karagwe, nafikiri huo ulikuwa ni mtandao wa kumwingiza ktk dola la tanzania. Nimewahi kukuandikia barua wewe IGP yapata kama miaka 2 hivi lakini sijui uliipata au hukuipata?, Jamii forums kuna ukweli japo tunajificha kwa majina ili kujinusuru. Sasa kama wewe IGP/RPC kagera una membership humu, niulize swali lolote nami nitakujibu. Kwakuwa niliandika barua na hamkujishughulisha ku-deal na suala ili nimeona niliweke uchi mbele ya watanzania. Huyu jamaa ni mrefu hivi, na ninajua mtafahamu.

TANZANIA KWANZA RWANDA BAADAE.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/507319-igp-and-rpc-kagera-ondoa-pandikizi-huyu.html

KUNA MAKSI KUANZISHA MJADALA AMBAO UPO....mods peleka hii kitu kule kwa nyenzake
 
Niko hapa biharamulo naona wanavyokamatwa hawa wanyarwanda basi hana budi na yeye kukamatwa kwani hao ndio wanao dhohofisha jeshi letu hususan mkoa wa kagera. Ameamua kumtaja ili taifa lijue na kua makini na askari kama hao wala sio kwamba anamchukia.

je wale watusi wanaofanya kazi TISS nao watapona au ni hao tu......
 
Back
Top Bottom