Sasa ushahidi si msearch hayo majina. Hebu nenda kwenye google usearch papa msofe au kama humfahamu kwa sura bofya hapa
the eastafrica: PAPAA MSOFE ATUHUMIWA KUVAMIA KIWANJA MBEZI BEACH!
Pia Papa Msofe akamtapeli Mama Mjane na ITV walimuhoji Kamanda Kenyela RPC wa Kinondoni na huyo Tapeli na Kenyela akamtetea na kusema msofe sio tapeli ni mfanyabiashara. Baadae jamii forum na ITV wakaripoti kwamba huyu Papa Msofe ambaye RPC amemtetea kwenye vyombo vya habari ni tapeli na kwamba Wanaharakati wakiongozwa na mpiganaji Mama Ananelia Nkya walilisimamia kidedea mpaka Waziri Mkuu akingilia kati na kuamuru swala hili lishughulikiwe mara moja. Cha ajabu kuona hivyo tunaambiwa Polisi walimpa huyu tapeli siku saba kurudisha kiwanja na tapeli huyu hakuchukuliwa hatua yoyote. Nadhani ukisearch papa msofe au papaa msofe utapata skendo lukuki za huyu jamaa. Tunaambia polisi wanalipwa mshahara na huyu jamaa.
Mwingine ni Mr Mushi ambaye alikuwa ardhi. Naye ni hatari na anatetewa na maafisa wa Ardhi na Polisi.
Nasikia kweli ukienda Polisi ukataja jina la mtu wanayemfahamu na kusema amevamia kiwanja chako ndio umewaletea mtaji, kwanza wanakwambia hawahusiki nenda kapigane nae mwenyewe au nenda mahakamani na baada ya hapo wanampigia simu huyo jamaa wanamwambia Mkubwa naona umefanya kazi lete pesa yakulinda huku na jamaa fasta anawafikishia fungu lao.
HUU NI UKWELI SION MAJUNGU. hakuna mtu Tanzania anaweza kumdhulumu mtu Ardhi bila kushirikiana na Polisi - HAKUNA!