IGP Mangu: Trafiki wengine hawa hapa

Ha ha haaaa watafukuzwa wengi kama "wembe" hautabadilishwa!!!
 
Kama watu wanaweza kukata viuno bungeni,mbona freah tu.
 
Acheni kumwaga unga wa wenzenu, watoto wao watakula nn?
 
Hawana makosa,huenda siku hizi ni kati ya zile ambazo vyama vya upinzani vinakuwa havijatangaza maandamano au shughuli yoyote ya kichama,sasa wafanye nini?
 
Wakifuzwa kazi utasaidia kulisha familia zao? Ni yupo kati yenu aliyekamilika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…