IGP Mangu kiboko ya CHADEMA


We kenge mama yangu anaingiaje humum acha kuliwa Buzz ya zamani jenga hoja pussi weeeee.nabado mlidekezwa na mwema sasa mtabeba chpi mikononi dadadadeki

Na kweli mkuu. Yaani kama Mbwa vile. Mradi akiambiwa shikaaa shikaaa aaaaaghhh!... Na hivi maaskari wenyewe bange na poda + viroba ndo kwao... Lazma agizo la pid litimilike.



KUMBE kweli unashughulikiwa! Mwanzoni mi nilidhani wanakusingizia!

Kiukweli IGP MANGU amefanikiwa kulinda utulivu wa nchi kwa muda mfupi. Kwa namna alivodhibiti maandamano ya CHADEMA na kusupress eti maagizo ya kamati kuu.

KAMANDA UMEIELEWA VEMA NA KUITEKELEZA AMRI YA MH PINDA.



Kwa kweli wengi tunaichukia sana CCM na mfumo wake mchafu wa dola unaogandamiza wanyonge na kuwalinda wahalifu wakubwa.

Hata hivyo tujiulizi wako wapi wakombozi wa kuikomboa hii nchi dhidi ya huu udhalimu?

Iko wapi mipango na mikakati ya hao wakombozi wanaojiandaa kuitoa madarakani CCM na vibaraka wake?

Hivi Chadema haitaki kukubali tu kuwa UKAWA ndio suluhisho la kuunganisha nguvu za wapinzani kwani hakuna Chama chenye nguvu kama CCM kwa kila idara nchi nzima?

Hao wasomi wa CHADEMA wako wapi hawataki kuwaambia ukweli na kuwashauri vongozi wao kuwa Chadema kmeshuka umaarufu na UKAWA ndio ilianza kurejesha nguvu za wapinzani?

Kwa nini Chadema kinatumia katiba ya watanzania wote kujitafutia umaarufu wakati ni dhihiri kuwa UKAWA ndiyo ilipaswa iratibu na kusimamia maandamano haya.

Bila chadema kuungana na CUF ,hakitaweza kuingia madarakani milele.Wataendelea kuunda serikali kivuli na katiba kivuli.

CDM acheni uroho shirikianeni na vyama vingine kupambana na CCM
 
Sidhani kama anajua katiba ya nchi inasemaje juu ya haki za binadamu.huyu sasa ataleta vita!wananchi hawajawahi kushindwa na wanasiasa hapa duniani.muda si mrefu ataomba poo.si ameona yaliyotokea songea?
 
Kiukweli IGP MANGU amefanikiwa kulinda utulivu wa nchi kwa muda mfupi. Kwa namna alivodhibiti maandamano ya CHADEMA na kusupress eti maagizo ya kamati kuu.

KAMANDA UMEIELEWA VEMA NA KUITEKELEZA AMRI YA MH PINDA.
Wewe msifie tu huyo kada mwenzio wa magamba, kwa namna anavyotumia chombo hicho cha dola, kinachoendeshwa kwa kodi zetu, kugandamiza uhuru wa wananchi wa kuelezea hisia zao, kwa kutumia mabomu ya machozi, virungu hadi risasi za moto, akiamini kuwa Mungu alilipangia Taifa hili kutawaliwa na CCM milele.

Ushauri wangu wa bure tu kwako uliyeleta mada hii ni kuwa siku itakapofika ya huyo IGP wako kuitwa the Hague kwenda kujibu mashitaka ya udhalimu huu wa kutisha anaowafanyia watanzania, basi usisahau kumsindikiza huko ICC, kama ambavyo mwenzako Zuma hivi sasa anavyomsindikiza 'mwenzake' Uhuru Kenyatta!
 
Said Mwema, Chadema walikuwa wanamshambulia kisa Muislam na huyu Mangu sijui watasemaje.

Naye ni Muislamu, kwa hiyo dini sio issue wewe unataka kuchanganya mambo.
 
Kashindwa kudhibiti majambazi, kashindwa kudhibiti ajali za barabarani ambazo ndio msingi wa kazi yake anajishugulisha na kufuata amri za mabwana zake CCM.

Uzuri nyie MaCCM ni wachache huku mitaani so tukianza kula sahani moja na nyie na kuchoma nyumba zenu Mangu hatafua dafu.
 
mkuu pamoja na yote haya, ccm haiwezi kukubali kutoka madarakani bila damu za watanzania kumwagika, watatumia vyombo vya dola ili kuendelea kutawala.
 
Kiukweli mfumo wa jeshi la polis ni wa kichama zaidi kuliko kiutendaji zaidi. Viongozi wengi wa jeshi la polis ni makada wa ccm!
 
nafikiri sifa ya uyang'au inampendeza sana mama'yo maana amesababisha umezaliwa ukiwa na tabia chafu ya ushoga hadi hujui haki zako sababu ya kuwatumikia wezi na mafisadi. Wait time will tell.

kali sanaaaa
 
hata mie nimefurahishwa kwa kweli.
nataman adumu milele MANGU maana washekhe wa uamsho wanavuja damu kwenye suruali na cdm wako mitini wakijikosoa
 
Kiukweli IGP MANGU amefanikiwa kulinda utulivu wa nchi kwa muda mfupi. Kwa namna alivodhibiti maandamano ya CHADEMA na kusupress eti maagizo ya kamati kuu.

KAMANDA UMEIELEWA VEMA NA KUITEKELEZA AMRI YA MH PINDA.

Ni lazima tuwe na mashaka na akili zetu kama tumefika mahali tunashangilia kuona demokrasia inafinyangwa. Muhimu ni kujua kuwa ukizoea kufukuza wenzio ipo siku utafukuzwa wewe. Hapo ndipo utajua ubaya wa kufukuzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…