IGP Mangu hawa ndo 'askari' wako!!

Hao askari sio wa Tanzania.
Hizo picha zimetengenezwa huko India.
 
Hapo sijaona kosa,ulitaka avue viatu na kupandisha suruali yake?huoni raha ya mgongo hapo?
 
View attachment 249858
Malamiko ya askari nyoronyoro sasa yamejitokeza kuliko wakati mwingine wowote.

Pichani tujionee wenyewe somo la ukakamavu kama linavyotolewa CCP Moshi!

Hivi hapa ni HAWA ASKARI WAKO AU HUYU ASKARI WAKO?????? mie namuona mmoja hapoΒ…:sly::sly::sly::sly: πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Hivi hapa ni HAWA ASKARI WAKO AU HUYU ASKARI WAKO?????? mie namuona mmoja hapo…:sly::sly::sly::sly: πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
Tazama vizuri mkuu, yupo askari mmoja tu hapo lakini kutokana na matukio ya hivi karibuni, hawa askari wa Mangu wanauwawa kirahisi rahisi, wananyag'anywa silaha kirahisi na wako nyoroyoro zaidi.
Halafu aliyebebwa hapo mtu mzima ni huyo askari , wengi neni wote watoto wa shule
Tazama vizuri picha.
 
We kubebwa ndo haki,polisi hana haki...,hivyo ni vitengo ttj kama vitengo vingine kwahiyo kubebwa na kuvushwa maji ni jambo la kawaida
 
Mkuu hiyo picha siyo tanzania,nidhamu ya tpdf ni mambo mengine kabisa,amini husiamini

Huyo mbishi tu...kamwe huwezi kukuta TPDF wamevaa open shoes na kombati,hiyo ni Al shabab hao ndio huvaa hivyo

hawa ndio huvaa hivyo!!si jeshi letu la Tanzania,tutake radhi
 
Askari polisi ni legelege siku hizi
 
"Hawa ndo askari wako" wako wangapi hapo....?? Hiyo nisawa nakuchukua matokeo ya necta ya mwanafunzi mmoja aliyepata zero nakupost "Tanzania yafeli" ili hali one za tatu zipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…