assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,903
- 4,051
Naona IGP na Freeman Mbowe wafanye mawasiliano ya haraka ili kuweza kuweka mambo sawa.
1) Either Polisi kucorodinate pamoja na Bavicha kama polisi jamii katika kuzuia wale wanaotaka kuvunja sheria ya jeshi la polisi la kuzuia mikutano ya kisiasa. Ninavojua CHADEMA wamesema hawaendi Dodoma kufanya fujo yoyote bali mabalozi wa amani.
2) Kuwasiliana na Mbowe kuruhusu mikutano ya siasa kwa vyama vyote na kumweleza ukomo rasmi wa tangazo lao.
3)Kumjulisha namna walivojipanga kuzuia na kuidhibiti CCM kufanya mikutano ya kisiasa walioikataza kupitia vyombo vya habari.
Kama hayo yakifanyika hakuna sababu ya bavicha kwenda dodoma.Hapo mbowe ajitokeze aseme walichojadiliana na kuzuia mafuriko ya vijana dodoma.
Huo ni ushauri kabla mambo hayajaharibika.
Asiesikia la mkuu....