Haina maana kumjadili anayepata salary kila mwezi.
Salam wadau..!!
Kama nilivyo anza na utangulizi hapo juu.
Naomba mwenye kujua CV ya IGP mrithi wa Saidi Mwema, atuwekee hapa jamvini, itapendeza kama ikipatikana historia yake kwa ufupi. Kwamfano, amesoma wapi, alijiunga jeshini lini, alipitia ngazi na vyeo gani na kadhslika.
Nihayo tu wakuu, lengo ni kumfahamu japo kwa uchache.
uko nje ya nchi,then hiyo kodi unalipa wapi hadi ujiite mlipakodi.?Asante kwa kunielewesha mkuu,
Misipo Tanzania, na Hays nimeyapata kwenye kijiwe cha watanzania nikaona nibora nililete hapa jukwaani.
Asante kwa maranyingine
Asante kwa kunielewesha mkuu,
Misipo Tanzania, na Hays nimeyapata kwenye kijiwe cha watanzania nikaona nibora nililete hapa jukwaani.
Asante kwa maranyingine
upweke unamsumbua,ujue yuko nchi za watu pengine hana mtu wa kuongea nae,mi nashauri aende MMU....loh! kumbe!
wabeba maboksi mna matatizo!