masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,644
- 14,643
Tumeona matukio ya kusikitisha tokea mikutano ya CDM ilivyoanza kuanzia Morogoro na hata Iringa
Serikali imetumia nguvu kubwa pasipo ulazima wowote bila kujali kuwa wanao umia ni Watanzania walipa kodi, wawe CHADEMA au vinginevyo.
Amani tuliyozoea kuiimba kila siku haivunjwi na wananchi bali vyombo vya dola-kiashirio ambacho si kizuri kwa mustakabali wa nchi yetu.
Mimi ni mwana CCM lakini kile ninachoona hakinipi faraja yoyote kama kuna utawala bora.Serikali nahisi imeingia kichwa kichwa katika mtego wa CDM na sidhani kama watatoka bila mikono ya baadhi ya viongozi kulowa damu.
Ningependa kumwomba Kamanda IGP kwamba muendelezo wa kutumia maguvu bila akili sana sasa unapitiliza kuliko kiasi.
Ni kwa nia hii hii njema ningemwomba ASITUMIE staili hii huko Mbeya maana vijana wa pale Mwanjelwa hawabipiki.
Ukiwabipu watapiga kweli.
Hatujasahau zile fujo za siku tatu nzima, ambazo zilizimwa na kauli tu ya Mhe Sugu.
Sote tunapenda amani, lakini kwa mtindo huu wa Polisi amani nahisi haitachukua muda mrefu kusambaratika.
Umechelewa sana kuliona hilo. CCM ndivyo mlivyo
Mkuu kwa mtindo huu wa Polisi hata Mwenyekiti wa CCM sidhani kama anapata starehe moyoni kwa yanayotokea!
Muhimu watu wawe na nidhamu na viongozi wao wafate sheria. Fujo hatutaki tena. Kama ni mkutano basi lazima ruhusa ya RPC, kama ni maandamano basi lazima ruhusa ya RPC na tutawachagulia maeneo ya maandamano lakini sio sokoni.

kukaa n kusononeka bila kufanya chochote ni udhaiffuMkuu kwa mtindo huu wa Polisi hata Mwenyekiti wa CCM sidhani kama anapata starehe moyoni kwa yanayotokea!
Muhimu watu wawe na nidhamu na viongozi wao wafate sheria. Fujo hatutaki tena. Kama ni mkutano basi lazima ruhusa ya RPC, kama ni maandamano basi lazima ruhusa ya RPC na tutawachagulia maeneo ya maandamano lakini sio sokoni.
We jifariji na hayo maneno lakini utatulia tu, hii ndio bongo, Slaa alikataa kumtambua JK kama Rais,Slaa alisema hana imani na polisi na hawezi kukaa nao, Slaa alisema liwale na liwe mikutano itaendelea.Kuanzia sasa hatuhitaji ruhusa ya polisi ili ikiwezekana watuue wote. Nani amewapa polisi kibali cha kuwa viranja wetu kwa kutumia risasi. Lilwalo na liwe sasa!
Muhimu watu wawe na nidhamu na viongozi wao wafate sheria. Fujo hatutaki tena. Kama ni mkutano basi lazima ruhusa ya RPC, kama ni maandamano basi lazima ruhusa ya RPC na tutawachagulia maeneo ya maandamano lakini sio sokoni.
mwenyekiti anafurahi sana,maana ndiyo ahadi aliyowaahidi wa tz wakati anaingia madarakani.Mkuu kwa mtindo huu wa Polisi hata Mwenyekiti wa CCM sidhani kama anapata starehe moyoni kwa yanayotokea!
Kikatiba RPC hana ruhusa ya kuzuia mkutano wa chama chochote cha siasa, wanachofanya MRPC kwa kutumia sheria za kikandamizi, wanavunja katiba ya nchi hii tuipendayo ya Tanzania!!! Kama huamini ngoja wapelekwe The Hague waende wajitetee eti kuna uvunjifu wa amani tukauwa watu!!!! Kazi ya Polisi ni kulinda raia na mali zao zisiharibiwe, si kuuwa watu waliobeba mabango na matawi ya miti eti wamevunja amani!!!!Muhimu watu wawe na nidhamu na viongozi wao wafate sheria. Fujo hatutaki tena. Kama ni mkutano basi lazima ruhusa ya RPC, kama ni maandamano basi lazima ruhusa ya RPC na tutawachagulia maeneo ya maandamano lakini sio sokoni.
Mkuu kwa mtindo huu wa Polisi hata Mwenyekiti wa CCM sidhani kama anapata starehe moyoni kwa yanayotokea!
wewe kimeo,rpc anapewa taarifa ili apange watu wa kusimamia sio anaombwa ruhusa.shida yenu magamba mlikubali vyama vingi ili mpewe pesa na wazungu,hambkufikilia kuwa kuna watu watakuwa na upinzani wa kweli.chama cha siasa au watu wowote wanahaki ya kuandama au kufanya mkutano na nihaki yao kikatiba.Muhimu watu wawe na nidhamu na viongozi wao wafate sheria. Fujo hatutaki tena. Kama ni mkutano basi lazima ruhusa ya RPC, kama ni maandamano basi lazima ruhusa ya RPC na tutawachagulia maeneo ya maandamano lakini sio sokoni.
Sasa si fanyeni mambo yenu bila kupitia kwa RPC ndio mtaelewa nini nasema. Lazima ruhusa ya polisi na hilo linajulikana wazi.wewe kimeo,rpc anapewa taarifa ili apange watu wa kusimamia sio anaombwa ruhusa.shida yenu magamba mlikubali vyama vingi ili mpewe pesa na wazungu,hambkufikilia kuwa kuna watu watakuwa na upinzani wa kweli.chama cha siasa au watu wowote wanahaki ya kuandama au kufanya mkutano na nihaki yao kikatiba.
sababu ni uchumia tumbo wa magamba kama wewe.Sasa si fanyeni mambo yenu bila kupitia kwa RPC ndio mtaelewa nini nasema. Lazima ruhusa ya polisi na hilo linajulikana wazi.