Igombe: Baada ya kufumaniwa aamua kujisaidia haja kubwa ili kulinda usalama wa tigo yake

GRAMAA

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
1,155
3,399
Tunaposema mke wa mtu ni sumu tunaomba muwe mnatuelewa.

Kijana Mwaipopo amefungua mwaka vibaya kwa kukoswakoswa kufumuliwa tigo na njemba tano zilizoandaliwa kwa kazi hiyo mahususi baada ya bwana mdogo huyo kufumaniwa na mke wa mtu ndani ya Imalampaka lodge.

Kijana Mwaipopo mwenye miaka 27 alipoona amevamiwa na mume wa mwanamke aliyekuwa naye ndani alijua kabisa lazima tigo yake itachezeshwa kwata ya kufungulia mwaka. Kwana mume huyo alikuwa ameambatana na mijitu mitano yenye miraba minne kwa kazi moja tu ya kupiga minyama nje na minyama ndani kwenye tigo Mwaipopo.

Baada ya Mwaipopo kuona kuna dalili zote za kuliwa tigo aliamua kuvaa haraka haraka kabla hawajavunja mrango,na.baada ya kuvaa tu akaamua kujisaidia haja kubwa ndani ya boksa yake ili tu atengeneze mazingira ya kuto kuliwa tigo na jamaa hao waliomfmania.

Kitengo cha Mwaipopo kujisaidia haja kubwa kiliokoa tigo yake isiguswe kwa 100% kwani jamaa waliomfumania waliona kinyaa sana na wakaamua kubadilisha adhabu, badala ya kuliwa tigo wakaanza kumpiga tu.

Akihojiwa na mjumbe wa Serikali, Mwaipopo amesema ameamua kujisaidia haja kubwa ndani ya nguo na kukalia kinyesi ili tu asiliwe tigo kwani Alisha hisi dalili zote za kutokea kitendo hicho siku hiyo. Na ameongeza kwamba akili hiyo ilimuijia fasta na kiwango kikubwa sana imemsaidia.

Mwaipopo aliamuliwa kulipa fine ya milioni 7 na akaahidi ataripa kidogo kidogo.
Kweli dunia inamambo sana na chelewa kufa uone mengi.

Kazi kwenu mnaoiba wake za watu na nyinyi ipo siku yenu tu.
 
Kuna kibaka aliiba bag mzungu posta madereva tax wakamuungia yan ndan ya sekunde 20 jamaa alivua nguo akachuchumaa na akanya na ulikua sio uharo lilikua kimba gumu kabisa akajipaka mwili mzima halafu akakatisha katikat ya kundi la wananchi wenye hasira kali wote walikimbia mpaka mzungu mwenyewe.

Ikumbukwe posta hakuna mawe kwahiyo upigaji wa mwizi ni ule wa nyama kwa nyama makofi mangumi mateke.

Unaambiwa muhuni alitoka mbio mpaka ndani bank ya posta pale kwenye sanamu ya askari akazama ndani wananchi wakashindwa kuzama ndani. Askari wakamuonyesha toilet za bank akaoga wakampa pingu avae mwenyewe ikaja defenda.

Swali likabak kwa raia speed aliotumia kunya mchizi sio ya kawaida wengine walidai kuna app jamaa anatumia
 
Huyo amekutana na wasio wazoefu.

Huko Mombasa njemba hua zinatembea na kiberiti chenye mavi kidogo(kama vile watu wanaoenda kupimwa tumbo hosp. wanavyoweka mavi yao kwny kiberiti) then wanakiweka mfukoni,wanakua wanakinusa wakiwa wanatembea barabarani kinawapa stimu,yaani huyo aliyekunya mafirauni wangedindisha mbaya kabisaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kibaka aliiba bag mzungu posta madereva tax wakamuungia yan ndan ya sekunde 20 jamaa alivua nguo akachuchumaa na akanya na ulikua sio uharo lilikua kimba gumu kabisa akajipaka mwili mzima halafu akakatisha katikat ya kundi la wananchi wenye hasira kali wote walikimbia mpaka mzungu mwenyewe.

Ikumbukwe posta hakuna mawe kwahiyo upigaji wa mwizi ni ule wa nyama kwa nyama makofi mangumi mateke.

Unaambiwa muhuni alitoka mbio mpaka ndani bank ya posta pale kwenye sanamu ya askari akazama ndani wananchi wakashindwa kuzama ndani. Askari wakamuonyesha toilet za bank akaoga wakampa pingu avae mwenyewe ikaja defenda.

Swali likabak kwa raia speed aliotumia kunya mchizi sio ya kawaida wengine walidai kuna app jamaa anatumia
Kuna app Jamaa anaitumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha Kuna Nyuzi aisee ni burudani sana kuanzia Uzi wenyewe hadi comments za wadau huu uzi nime subscribe aisee mana comments ya 15 tu tayari mbavu ziko Hoi kwakucheka. Nime scroll up nikidhani ni Msaga Sumu ndo kapost
 
Back
Top Bottom