T Tony Laurent JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 6,447 Reaction score 8,421 Jun 3, 2013 #1 Jamaa alipoamua kuigeuza changamoto kuwa fursa
galindas JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 978 Reaction score 1,306 Jun 3, 2013 #2 Duh napita tu
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jun 3, 2013 #3 Naona kama maigizo
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Jun 3, 2013 #4 Ah hiyo kitu acha tu.....winter ni balaaaa watu hatutoki njeeeee,africa hali ya hewa poa sana
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,932 Reaction score 1,164 Jun 3, 2013 #5 Anaweza asiinuke tena kwa kugandia hapohapo.
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 19,041 Reaction score 22,590 Jun 3, 2013 #6 farkhina said: Ah hiyo kitu acha tu.....winter ni balaaaa watu hatutoki njeeeee,africa hali ya hewa poa sana Click to expand... Kwa MADIBA na kwenyewe ni noma wakati huu
farkhina said: Ah hiyo kitu acha tu.....winter ni balaaaa watu hatutoki njeeeee,africa hali ya hewa poa sana Click to expand... Kwa MADIBA na kwenyewe ni noma wakati huu
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Jun 3, 2013 #7 Never give up said: Kwa MADIBA na kwenyewe ni noma wakati huu Click to expand... Hahhahahahaha tutakoma wanatuahangaa kweli najoto kali bado tumevaa mabaibu na hijab
Never give up said: Kwa MADIBA na kwenyewe ni noma wakati huu Click to expand... Hahhahahahaha tutakoma wanatuahangaa kweli najoto kali bado tumevaa mabaibu na hijab
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,991 Reaction score 5,234 Jun 3, 2013 #8 farkhina said: Hahhahahahaha tutakoma wanatuahangaa kweli najoto kali bado tumevaa mabaibu na hijab Click to expand... Achana nao mama hizo ndio mila zetu hizo....
farkhina said: Hahhahahahaha tutakoma wanatuahangaa kweli najoto kali bado tumevaa mabaibu na hijab Click to expand... Achana nao mama hizo ndio mila zetu hizo....