john chammy
Member
- Jun 28, 2012
- 37
- 1
naombeni kujua udhaifu wake na ubora wake kimasomo, soko la ajira,na maisha ya pale kwa ujumla.
badala ya kukazana ukasome university umekazana na hizi institution na college au matokeo yako hayakuwa mazuri?
Out of Topic kama
kawaida yako
badala ya kukazana ukasome university umekazana na hizi institution na college au matokeo yako hayakuwa mazuri?
swali lako ni pana mno! apo lazima uwe specific, mwanafunzi wenyewe ndo unaweza kuwa bora na sio chuo.
naombeni kujua udhaifu wake na ubora wake kimasomo, soko la ajira,na maisha ya pale kwa ujumla.
badala ya kukazana ukasome university umekazana na hizi institution na college au matokeo yako hayakuwa mazuri?
nani kakwambia IFM hawatoi Degree!!!
huwezi kukuta mtu mwenye one hata ya sita yupo ifm
IFM ni Chuo ambacho Ukitaka kushindana na Watu kimavazi au Mapenzi lazma utalia...cha msingi Unatakiwa ujijengee Schedule yako mwenyewe...hapo Maisha utayaweza
Masomo wala hakuna tatizo
ila ajira kama Hujuani na Wenye jiji na Nchi utasota...ila kama ni Dem mzuri ajira ni nje nje...
Asikuambie mtu ifm nilivyoisikia tofaut na nilivyo iona.ifm kikosawa saana na hakijawa university sababu ukubwa wa eneo lake tu lakin st john saut udom zote ni universuty lakin kitaalum haziingii kwa ifm.
una uhakika? braza wangu alienda ifm mwaka 2010,na alikuwa na i.5 ,economics b commerce a accounts a ! sio unaropokaropoka tuhuwezi kukuta mtu mwenye one hata ya sita yupo ifm
una uhakika? braza wangu alienda ifm mwaka 2010,na alikuwa na i.5 ,economics b commerce a accounts a ! sio unaropokaropoka tu