IFM wagoma

Wamedai wanafunzi walipe kwanza ada mpya ndipo watoe matokeo yao na wao wamekataa kwa kugoma
 
Hawa jamaa ni kunguru wa zenji wakitishiwa nyau tu watarudi darasani sasa hivi. Ukumbuki walivyovurugwa bila haki na kuondolewa viongozi wao wakawekwa vibaraka nao wakanywea. Wee acha tu
 
sasa tutasikia kuku wamegoma kuchinjwa. kisa bei ipo juu sana walaji wa hali ya hini wanakosa uhondo
 
Back
Top Bottom