IFM undergraduates, tukutane tar. 7 Oct!

IFM undergraduates, tukutane tar. 7 Oct!

Na mm pia computer science hapo hapo ifm sema siitaji kusoma nafanya yangu shule sio issue hapa duniani
acha ujinga ww ata mtotom wa bill gates anasoma. au ww babaako kigogo huon tena thaman ya elimu coz godoro nyumba na mashamba yenu yako inform of noti. tena za buku ten. nahic ww hata cha 4 hujafik u cant this maybe ur joking us
 
Hahaha ni mjinga aaaaang'nnnn
 
Na mm pia computer science hapo hapo ifm sema siitaji kusoma nafanya yangu shule sio issue hapa duniani

Kusomaaa cio lzm.....Mipango ty....w somaaa uje tembeaaa n baashaaa uwe una fanya kz y kubadilisha ty baasha
 
Kusomaaa cio lzm.....Mipango ty....w somaaa uje tembeaaa n baashaaa uwe una fanya kz y kubadilisha ty baasha
na ww usikariri maisha acha kushauri wenzio vibaya sio kila anaesoma anataka kazi wengne wanapata maujuz ya kupambana na vikwazo mbali mbali vya maisha yabo ww
 
Pana kazi nackia hatari, mm nlipataga certificate on IT bt nkabadili maamuz nkaona bora nipige six kwnza then nirud n namshukuru Mungu nimechaguliwa sasa kusoma degree mwaka huu so nshapiga gape wale wote ambao ngeingia nao diploma 2 this year.

Gape= gap.

Hatariiiiiii
Unaandika lakini?
 
Vijana mkishajipanga basi mniambie niwatafutie rum..kama ifm ckushauri ukae sehem yoyote ile isipokuwa kigambon kwanza cost yake ndogoo tofaut na sehem nyingine pia ukichelew rum zinapanda bei na pia uwezekano na kukusa chumba mkubwa

Rum ni bei gn
 
wale wa ifm naomba mnijuze hapa...nimechaguliwa hapo Bsc in social protection je registration inaanza lini?
 
Eeee wewe Ericford ifm ilianza usajili toka tarehe 12 oct hivyo chelewa chelewa tyu na jtatu wanachuo wanatakiwa pale kukutana na ndo mwisho wa usajili labda kwa wale wa forth round ambao wengi leo tarehe 29 tumewatumia meseji via number yetu ya airtel so nenda chuoni ifm hata kesho ukachukue join instruction na uanze usajili hongera kwa kupata chuo
 
asante mkuu mimi pia hyo sms nimetumiwa leo...
 
Kwahio muafaka wa Rooms nje na Ifm Mmefikia wap...??
Wale wa kudandia...:?
 
Kwa vyumba vya bei nafuu na vyenye usalama tuwasiliane 0712910131 ukituma text itakuwa better zaid
 
Back
Top Bottom