IFM undergraduates, tukutane tar. 7 Oct!

xpin de rexas

Member
Joined
Feb 3, 2013
Posts
26
Reaction score
2
Mm nmechaguliwa IFM bsc in computer science n nahitaji rafiki ambaye tutaweza kupanga wote one room at upanga, kigamboni, posta or kurasini
 
Vijana mkishajipanga basi mniambie niwatafutie rum..kama ifm ckushauri ukae sehem yoyote ile isipokuwa kigambon kwanza cost yake ndogoo tofaut na sehem nyingine pia ukichelew rum zinapanda bei na pia uwezekano na kukusa chumba mkubwa
 
2tacomunicate mkubwa
 
Mm nmechaguliwa IFM bsc in computer science n nahitaji rafiki ambaye tutaweza kupanga wote one room at upanga, kigamboni, posta or kurasini

Na mm pia computer science hapo hapo ifm sema siitaji kusoma nafanya yangu shule sio issue hapa duniani
 
Duh hyo kali ya mwaka, c mzima nahc sasa ulichagulia nn mm nadhan u just showing off kua umechaguliwa bt ur comment inaonesha dhahiir sio kwel, na kama ni kwel basi umerogogwa maana hata chizi hwez ongea huo upuuzi
 
Na mm pia computer science hapo hapo ifm sema siitaji kusoma nafanya yangu shule sio issue hapa duniani

Kijana acha mbwembwe....kusoma kwenyew hujasoma umekuja kutamba hum watu wakuone umesoma kumbe chenga tupu na maneno mengi....
 
Hahahahahah kijana ana mbwembwe na yeye pi kachaguliwa ifm ila anaona elimu haina issue hapa duniani....huyu anaonekana hata form 4 haijui form six sio kwa kichwa hiki
 
Ifm ilishafuta watu wajinga kama hawa..kwasasa hamna matozi njaa pale msuli kama umetumwa na kijiji ukizingua basi utamsikia mjema ukiwa nyumbani
 
Pana kazi nackia hatari, mm nlipataga certificate on IT bt nkabadili maamuz nkaona bora nipige six kwnza then nirud n namshukuru Mungu nimechaguliwa sasa kusoma degree mwaka huu so nshapiga gape wale wote ambao ngeingia nao diploma 2 this year.
 
Hahaaaa kijana wangu mwaka wakwanza tuu naingia pale ifm nikakutana na jamaa anaitwa igakinga anafundisha law...aisee nlikiona chuo kichungu ndani ya wiki mbili alitaka kunifukuza chuo kwa kosa ambalo halielewek...bt thanks nasubir joh mwezi 11
 
Hahahah duh aiseee
 
Back
Top Bottom