Mkuu ondoa hasira za kipuuzi kihivyo. Ile ni penalty bila hata ubishi, Ivory Coast had their chances but failed to capitalize on them. Na katika mechi kama ile unapokuwa ndani ya 18 you try to do anything possible to gain advantage ila yule jamaa Sio wa Ivory Coast tripped Samaras ndani ya 18 so what choice does the referee have? Mkuu, ulikuwa unaangalia mpira kweli ama ulikuwa unashabikia uafrika? Kwa mtazamo wako unafikiri kuna nchi gani ya Kiafrika ambayo ipo pale Brazil yenye uwezo wa kuchukua kombe la dunia? Jibu ni hakuna.
Nadhani utakuwa umesahau au umejisahaulisha ile mechi ya kufuzu kati ya Tz na Ivory Coast, maana ile ilikuwa ya waafrika tupu lakini hukuona wa-Tz tulivyonyanyaswa.
hapana, nitaweka hapa picha ya penati ambayo SAMARAS aliangushwa ndani ya boksi, lakini akasema hakuguswa kwenye mechi vs COLOMBIA, acha kujifanya hujui.
ongea kitaalamu.
Huu unazi ndo unaharibu soka la africa..ukiangalia hizi mechi mbili ivory cost hawajacheza kitimu ..hawapeani pasi..viungo walikuwa wanapoteza mpira maeneo ya hatari mara kibao..tunakuja kulaumu penalt ya wazi kabisa..Jamani tuacheni unazi ile penalty live jamaa alikua anapiga then yule beki akamuekea kigingi kwa nyuma. Sasa pale hata refa angaekua Collina angeweka tuta.
Ngozi nyeusi tumelaaniwa kwakweli tumeanza kupigana wenyewe kwa wenyewe(Cameroo). Sasa kama leo Yaani sekunde 37 mpira uishe unaenda kufanya tukio kama lile kweli?
Soka la africa linakufa kwa ushabiki wetu mkuu..ile pale kwa sheria za soka ni penalt kabisa..ivory cost wajilaumu wenyewe tu kwa kushindwa kucheza kitimu kwenye hizi mechi mbili za mwisho..alafu midfield walikuwa wanapoteza mipira sehemu za hatari sana..alafu waache kuchagua majina..maana sijui kwa nini walimwacha godfrey bonyWatu bwana....nyinyi ndiyo mnaoua mpira wetu wa Tanzania yaani mashabiki wa kufuata upepo, mtu unashabikia kitu wala hujuwi unashabikia kwa nini. Kiutaalam ile ni penalty na wala haina ubishi hata wachezaji wenyewe wa Ivory Coast walijuwa hivyo na hawakubisha ila wewe mchezaji wa benchi lisilo tambulika duniani ndiyo unayejua zaidi, si ndiyo? Kama kweli uliangalia ile mechi na si kusimuliwa kwenye daladala si uliona jinsi kina Drogba walivyoshika vichwa baada ya Samaras kukwanguliwa ndani ya 18 au haukuona hii? Watu bwana. Wale walifanya vile kwani walishajuwa nini kitatokea...Kama nilivyosema, Ivory Coast had their chances ila walishindwa kuzitumia, utasema na hii pia walilaliwa na refa? Acha ubishi wa kijinga mkuu. Ule mpira ulikuwa 50/50.
Soka la africa linakufa kwa ushabiki wetu mkuu..ile pale kwa sheria za soka ni penalt kabisa..ivory cost wajilaumu wenyewe tu kwa kushindwa kucheza kitimu kwenye hizi mechi mbili za mwisho..alafu midfield walikuwa wanapoteza mipira sehemu za hatari sana..alafu waache kuchagua majina..maana sijui kwa nini walimwacha godfrey bony
Naomba kujuwa shule uliyosoma, nataka kweda kuonana na mwalimu wako.
Sasa unaharibu lugha akuachie tuu?! Si bora amekufahamisha ili usirudie hayo makosa tena?! Au wewe ulitaka uendelee na akili hiyo hiyo tuu?!
Huyo ni mjuai tu, lkn hamna kitu unapoteza muda wako bure..na mimi naomba kujua shule uliyosoma, nataka niende kuonana na mwalimu wako
Watu bwana....nyinyi ndiyo mnaoua mpira wetu wa Tanzania yaani mashabiki wa kufuata upepo, mtu unashabikia kitu wala hujuwi unashabikia kwa nini. Kiutaalam ile ni penalty na wala haina ubishi hata wachezaji wenyewe wa Ivory Coast walijuwa hivyo na hawakubisha ila wewe mchezaji wa benchi lisilo tambulika duniani ndiyo unayejua zaidi, si ndiyo? Kama kweli uliangalia ile mechi na si kusimuliwa kwenye daladala si uliona jinsi kina Drogba walivyoshika vichwa baada ya Samaras kukwanguliwa ndani ya 18 au haukuona hii? Watu bwana. Wale walifanya vile kwani walishajuwa nini kitatokea...Kama nilivyosema, Ivory Coast had their chances ila walishindwa kuzitumia, utasema na hii pia walilaliwa na refa? Acha ubishi wa kijinga mkuu. Ule mpira ulikuwa 50/50.
Tukomae hivyo hivyo,mbona Ulaya timu zao za maana zimetoka-Spain.Italy,Russia nk nk....sisi mbili zimesonga si mabya sana.
Soka la africa linakufa kwa ushabiki wetu mkuu..ile pale kwa sheria za soka ni penalt kabisa..ivory cost wajilaumu wenyewe tu kwa kushindwa kucheza kitimu kwenye hizi mechi mbili za mwisho..alafu midfield walikuwa wanapoteza mipira sehemu za hatari sana..alafu waache kuchagua majina..maana sijui kwa nini walimwacha godfrey bony
Timu zetu za Afrika zinacheza kama zimetoka shamba, nguvu nyingi akili kidogo, nilishangaa dakika ya tisini golikipa wa Ivory Coast anadaka mpira na kuuanza fasta bila hata mbwembwe za time wasting. Tukiweka hisia za uzalendo pembeni, ile ni penalty halali.
Soka la africa linakufa kwa ushabiki wetu mkuu..ile pale kwa sheria za soka ni penalt kabisa..ivory cost wajilaumu wenyewe tu kwa kushindwa kucheza kitimu kwenye hizi mechi mbili za mwisho..alafu midfield walikuwa wanapoteza mipira sehemu za hatari sana..alafu waache kuchagua majina..maana sijui kwa nini walimwacha godfrey bony