Wewe uko kwenye ndoa? If not then hau qualify kushauri walio kwenye ndoa...let alone kuwa blame na kuwanyooshea kidole..stress za ndoa wanazijua wanandoa na Wengine bila kuchepuka wange kufa kwa stress
Hahaaaaaaa! She thinks marriage a book! Mtu anaequalify kushauri ni ALIEACHIKA COZ KACHEZA PANDE ZOTE! Anajua kila experience! Dont you agree my boss?
Sina ndoa, lakini inabidi tujifunze na kukumbushana yaliyo nje na ndani,Wewe uko kwenye ndoa? If not then hau qualify kushauri walio kwenye ndoa...let alone kuwa blame na kuwanyooshea kidole..stress za ndoa wanazijua wanandoa na Wengine bila kuchepuka wange kufa kwa stress
mwenzio huwa nasinzia lakini nikiona tu Morg naamka fasta....uwe unanishtua nawe
sikujua kama inakingika kwenye chupa kwani inatoka kama haja ndogo ama?inatoka kwa matone sasa mpaka kichupa kifike robo itakuwa kazi kwelikweli…..Nimetamani kutapika gafla, yaani sipati picha