Ifike mahali na sisi CHADEMA tuache unafiki

Tuuwachie Chadema chama chao tudili na mambo ya kitaifa, huwezi kuwaona Chadema wanahangaika na ruzuku ya ccm,
Ni mwendawazimu tu atakayeacha kushughulika na kujua 2.4T ambazo ni kodi yake zilitumikaje halafu ajishugulishe na bili 7 za Chadema (Huoni Chadema isipotumia vizuri ruzuku yake itakuwa dhaifu na ni faida kwenu?)
CAG aliibua ufisadi wa billion 7 ndani ya chadema ambazo Mbowe alinunua helkopita hewa .

Bavichaaa wote mko kimya kuhusu wizi huu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafiki ni nini ?

Unafiki ni kuwa na kauli za kubadilika badilika na kujifanya huoni mambo mazuri yakifanyika.
Pia
Unafiki ni roho ya kichawi ya kutopenda maendeleo ya wengine

Sisi Chadema tumekuwa ni pingapinga wa kila kitu ina maana hatuoni mambo haya yakitokea kwenye nchi yetu?

1. Upanuzi wa barabara ya kimara kwa njia nane ambao unaenda kwa kasi na sasa wamefikia hatua ya kuweka lami?

2. Ina maana sisi chadema hatuoni kwamba sasa hivi hamna migomo tena vyuo vikuu?

3.Ina maana sisi chadema hatuoni kwamba sasa hivi vituo vya polisi havivamiwi tena na majambazi ?
4. Ina maana hatuoni kabisa kwamba mgao wa umeme umeisha na watalii wameongezeka?
5. Si ni sisi Chadema tulikuwa tunalalamikia ufisadi na kutaka mafisadi watumbuliwe na kufungwa haraka?

Ina kama tungeshinda sisi CHADEMA, tusingefufua shirika la ndege, tusingejenge reli ya umeme wala tusingeanzisha mradi mkubwa wa kumaliza tatizo la umeme nchini kwa kujenga bwawa la Stiglers gorge?

Kama tungeshinda sisi chadema tungewaacha machinga ,mama ntilie ,wachimbaji wakiteseka kwa kufukuzwa hovyo na kuandamana mabarabarani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe siyo Chadema
 
Inamana huoni dola inavyo paa kila kukicha?

Nitajie mafisadi kumi waliofungwa jela
mtu mwenye akili hawezi kutaja wanafunzi kitogoma hali ya kuwa usipolipa hadi 100 higusi exam room.. hao unao waita wanafunzi wa vyuo wanakariri hivyo hawajui haki zao zamani tulagoma mana tulijua haki zetu tena tulikuwa tunakula full boom.
WATU KUSEMA MAGUFULI AMEZULUM KOROSHO SIO KUPINGA HUO NI UKWELI
Wale kangomba waliokamatwa wamechukuliwa hatua gani na sheria gani inasema mchukue korosho zao.
LIPENI KOROSHO ACHENI ZULMA
juha wewe kwani kuwa chadema ni zambi
 
Unafiki ni nini ?

Unafiki ni kuwa na kauli za kubadilika badilika na kujifanya huoni mambo mazuri yakifanyika.
Pia
Unafiki ni roho ya kichawi ya kutopenda maendeleo ya wengine

Sisi Chadema tumekuwa ni pingapinga wa kila kitu ina maana hatuoni mambo haya yakitokea kwenye nchi yetu?

1. Upanuzi wa barabara ya kimara kwa njia nane ambao unaenda kwa kasi na sasa wamefikia hatua ya kuweka lami?

2. Ina maana sisi chadema hatuoni kwamba sasa hivi hamna migomo tena vyuo vikuu?

3.Ina maana sisi chadema hatuoni kwamba sasa hivi vituo vya polisi havivamiwi tena na majambazi ?
4. Ina maana hatuoni kabisa kwamba mgao wa umeme umeisha na watalii wameongezeka?
5. Si ni sisi Chadema tulikuwa tunalalamikia ufisadi na kutaka mafisadi watumbuliwe na kufungwa haraka?

Ina kama tungeshinda sisi CHADEMA, tusingefufua shirika la ndege, tusingejenge reli ya umeme wala tusingeanzisha mradi mkubwa wa kumaliza tatizo la umeme nchini kwa kujenga bwawa la Stiglers gorge?

Kama tungeshinda sisi chadema tungewaacha machinga ,mama ntilie ,wachimbaji wakiteseka kwa kufukuzwa hovyo na kuandamana mabarabarani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kula upanuzi wa Barbara inzi wa kijani ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana we ni fundi sana wa kukosoa lkn sijawahi kukuona ukikosoa mbowe namna anavyoendesha mambo ndani ya chadema. Au maamuzi yote anayofanya mbowe ndani ya chadema ni sawa??

Sent using Jamii Forums mobile app
magufuli amefanya mambo mengi sana ya Hovyo mfano KUKWAPUA 1.5 TRILION na KUKWAPUA KOROSHO ZA WAKULIMA ulishapinga lipi!
 
Tumeshakuwa kama Mbuzi anayefugwa pamoja na kundi la mbwa, sasa Mbuzi wenzake wakipita mbwa wakaanza kubweka na yeye anakazana kubweka akisahau kuwa yeye ni Mbuzi na hata abweke vipi sauti ya meee ndiyo itakayotoka kwa nguvu.

Wakoloni ni watu wabaya sana, mpaka kizazi cha leo bado hakiwezi kuwa huru kifikra bila kuwa chini ya mwavuli wa jambo/mtu/chama. Tunajiona tofauti kweli sababu ya vyama. Unakuta huyu anambwekea yule kwa nguvu kweli wakati na yeye ni Mbuzi tu kama mwenzie.

Sisi wote masikini tupiganieni wajukuu zetu wawe angalau na matumaini, tuachane na ukada na kufata mkumbo.
 
Inaonekana we ni fundi sana wa kukosoa lkn sijawahi kukuona ukikosoa mbowe namna anavyoendesha mambo ndani ya chadema. Au maamuzi yote anayofanya mbowe ndani ya chadema ni sawa??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sitakagi hata kumsikia MTU huyo akiwa uraiani ?
Angalau sasa naona mwanga wa Demokrasia wakati huu ambapo Mbowe amestaafishwa kwa lazima ili asije akajenga Chama cha Kidikteta kuliko Sisiemuu.

Mbowe ni tatizo kubwa sana kwa siasa za kupigania Demokrasia.
Kati ya mambo mazuri awamu ya Tano ni pamoja na hili la kuhakikisha Mbowe anafuata sheria na kanuni.

Mbowe ndiye aliyekua anaua Chama na mbaya zaidi akawa anaaaminisha watu kuwa bila yeye Chadema itakufa jambo lililowapa hasiara viongozi wenzake wengi hasa wabunge na madiwani wanaosumbuliwa kwa sababu ya kupigania Chama huko kwenye majimbo na kata zao na wengi wakaamua kwenda CCM na chama kuanza kupukutika.

Ni bahati nzuri tu ikatokea Mbowe akawekwa mahabusu mwezi wa tatu sasa na Upinzani na Chadema inaanza kustawi huku viongozi wakishindana kuonyesha uwezo wao wa kujenga Chama.Mambo ambayo mbowe alikua hataki. Lema alikua anakamatwa anaswekwa ndani na Sugu lakini hatukuona Mbowe akitoa kauli yenye mashiko na ya kizalendo kama alivyofanya Juma Mwalimu . Sasa Wapinzani wanajipanga kisayansi sio kimajungu kama wakati Mbowe akiwa uraiani na genge lake.

Nadhani ikitokea Mbowe akaendelea kupumzika gerezani kwa miezi 9 basi chama kitapata nguvu kubwa ya kitaifa sio kikabila kama ilivyokua .

Tunataka Demokrasia ianzaie ndani ya vyama bila kujali kuwa nani ataathirika.
Haiwezekani mtu avunje Demokrasia eti kwa sababu yeye akikosa uongozi chama kitakufa.
Kama kuna mtu yupo Chadema kwa sababu ya Mbowe huyo hafai kupigania uhuru wa mawazo,haki sawa,utu, amani,umoja na mshikamano wetu.
Mbowe alijijenga kama yeye ndio itikadi ya Chama ndio maana wale waliokuwa wanamkosoa na kuonyesha kuwa wana nia ya kugombea uenyekiti walikua wanaonekana kuwa ni adui wa Chama .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada alichokifanya ndiyo kinaitwa UNAFIKI. maana ya unafiki ni huo kusema wewe ni chadema wakati ni ccm.
 
Unafiki ni nini ?

Unafiki ni kuwa na kauli za kubadilika badilika na kujifanya huoni mambo mazuri yakifanyika.
Pia
Unafiki ni roho ya kichawi ya kutopenda maendeleo ya wengine

Sisi Chadema tumekuwa ni pingapinga wa kila kitu ina maana hatuoni mambo haya yakitokea kwenye nchi yetu?

1. Upanuzi wa barabara ya kimara kwa njia nane ambao unaenda kwa kasi na sasa wamefikia hatua ya kuweka lami?

2. Ina maana sisi chadema hatuoni kwamba sasa hivi hamna migomo tena vyuo vikuu?

3.Ina maana sisi chadema hatuoni kwamba sasa hivi vituo vya polisi havivamiwi tena na majambazi ?
4. Ina maana hatuoni kabisa kwamba mgao wa umeme umeisha na watalii wameongezeka?
5. Si ni sisi Chadema tulikuwa tunalalamikia ufisadi na kutaka mafisadi watumbuliwe na kufungwa haraka?

Ina kama tungeshinda sisi CHADEMA, tusingefufua shirika la ndege, tusingejenge reli ya umeme wala tusingeanzisha mradi mkubwa wa kumaliza tatizo la umeme nchini kwa kujenga bwawa la Stiglers gorge?

Kama tungeshinda sisi chadema tungewaacha machinga ,mama ntilie ,wachimbaji wakiteseka kwa kufukuzwa hovyo na kuandamana mabarabarani?

Sent using Jamii Forums mobile app
6. Ina maana chadema hawaoni kuwa wakulima wa korosho wamedhulumiwa korosh zao na zilipoharibika wanatakiwa kurudishiwa
7. ina maana chadema hawaoni kuwa tumewapa wamachinga vitambulisho vya bure iila wanatakiwa kuvilipia elfu ishirini kila mwaka
8. Ina maana chadema hawaoni kuwa mpaka leo kishika uchumba cha makinikia hakijalipwa
9. Ina maana chadema hawaoni kuwa bei ya mbaazi imepaa kutoka shilingi 2500 kwa kilo hadi shilingi 150 kwa kilo
10. ina maana chadema hawaoni kuwa bei ya sukari imepaa kutoka shiling 1800 kea kilo hadi shilingi 2500
 
there is no any struggle without casualities,upinzani,matusi anayokutana nayo JPM ni makubwa,lkn kama Mungu yupo nadhani atasimama sehemu sahihi,nashangaa sana kuona maendeleo yanayotekelezwa na wawekezaji maeneo yenye machimbo ya madini kama social responsibility, ndani ya kipindi kifupi cha awamu ya tano,mpaka nashangaa,ukiwauliza wanasema tokea zamani walikuwa wakitoa pesa,sasa inawezekana hawa wanaopiga kelele sasa kuna namna walivyokuwa wana nufaika na regimes zilizopita.Na tulipokuwa tunaelekea hawa akina zito wangetuletea mambo kama ya libya,,Gadafi aliwapa watu wake everything lkn wanafiki kama hawa hawakukosa,kwaiyo mzee baba endelea kupiga kazi.
 
Unafiki ni nini ?

Unafiki ni kuwa na kauli za kubadilika badilika na kujifanya huoni mambo mazuri yakifanyika.
Pia
Unafiki ni roho ya kichawi ya kutopenda maendeleo ya wengine

Sisi Chadema tumekuwa ni pingapinga wa kila kitu ina maana hatuoni mambo haya yakitokea kwenye nchi yetu?

1. Upanuzi wa barabara ya kimara kwa njia nane ambao unaenda kwa kasi na sasa wamefikia hatua ya kuweka lami?

2. Ina maana sisi chadema hatuoni kwamba sasa hivi hamna migomo tena vyuo vikuu?

3.Ina maana sisi chadema hatuoni kwamba sasa hivi vituo vya polisi havivamiwi tena na majambazi ?
4. Ina maana hatuoni kabisa kwamba mgao wa umeme umeisha na watalii wameongezeka?
5. Si ni sisi Chadema tulikuwa tunalalamikia ufisadi na kutaka mafisadi watumbuliwe na kufungwa haraka?

Ina kama tungeshinda sisi CHADEMA, tusingefufua shirika la ndege, tusingejenge reli ya umeme wala tusingeanzisha mradi mkubwa wa kumaliza tatizo la umeme nchini kwa kujenga bwawa la Stiglers gorge?

Kama tungeshinda sisi chadema tungewaacha machinga ,mama ntilie ,wachimbaji wakiteseka kwa kufukuzwa hovyo na kuandamana mabarabarani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni CHADEMA?

Tuko pamoja mkuu

Chadema hamna mabwege kama wewe

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
Back
Top Bottom