Ifike mahali na sisi CHADEMA tuache unafiki

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
3,869
2,000
Unafiki ni nini ?

Unafiki ni kuwa na kauli za kubadilika badilika na kujifanya huoni mambo mazuri yakifanyika.
Pia
Unafiki ni roho ya kichawi ya kutopenda maendeleo ya wengine

Sisi Chadema tumekuwa ni pingapinga wa kila kitu ina maana hatuoni mambo haya yakitokea kwenye nchi yetu?

1. Upanuzi wa barabara ya kimara kwa njia nane ambao unaenda kwa kasi na sasa wamefikia hatua ya kuweka lami?

2. Ina maana sisi chadema hatuoni kwamba sasa hivi hamna migomo tena vyuo vikuu?

3.Ina maana sisi chadema hatuoni kwamba sasa hivi vituo vya polisi havivamiwi tena na majambazi ?
4. Ina maana hatuoni kabisa kwamba mgao wa umeme umeisha na watalii wameongezeka?
5. Si ni sisi Chadema tulikuwa tunalalamikia ufisadi na kutaka mafisadi watumbuliwe na kufungwa haraka?

Ina kama tungeshinda sisi CHADEMA, tusingefufua shirika la ndege, tusingejenge reli ya umeme wala tusingeanzisha mradi mkubwa wa kumaliza tatizo la umeme nchini kwa kujenga bwawa la Stiglers gorge?

Kama tungeshinda sisi chadema tungewaacha machinga ,mama ntilie ,wachimbaji wakiteseka kwa kufukuzwa hovyo na kuandamana mabarabarani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mitigator

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,785

We kiroboto wa lumumba fc una ujasir wa kiwendawazimu
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
4,996
2,000
Ongezea na haya wewe chadema
6.Tusingegawa milioni 50 kila kijiji?
7.Tusingeruhusu watoto wa kike waliopata mimba kurudi shuleni kupata haki yao ya elimu
8.Tusingeruhus uhuru wa vyombo vya habari
9.Tusingeendeleza mchakato wa katiba mpya?
10.Tusengeajiri na kupandisha mishahara wafanyakazi?
11.Tusingenunua korosho zote za wakulima?

fugees

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
2,872

umeingiaa lini chadema manina?
 
sheiza

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
5,125
2,000
Ongezea na haya wewe chadema
6.Tusingegawa milioni 50 kila kijiji?
7.Tusingeruhusu watoto wa kike waliopata mimba kurudi shuleni kupata haki yao ya elimu
8.Tusingeruhus uhuru wa vyombo vya habari
9.Tusingeendeleza mchakato wa katiba mpya?
10.Tusengeajiri na kupandisha mishahara wafanyakazi?
11.Tusingenunua korosho zote za wakulima?

Sent using Jamii Forums mobile app
Liambie gazeti la tanzania daima limchunguze mbowe na chadema kuhusu matumizi ya ruzuku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yomboo

JF-Expert Member
May 9, 2015
6,206
2,000
Unafiki ni nini ?

Unafiki ni kuwa na kauli za kubadilika badilika na kujifanya huoni mambo mazuri yakifanyika.
Pia
Unafiki ni roho ya kichawi ya kutopenda maendeleo ya wengine

Sisi Chadema tumekuwa ni pingapinga wa kila kitu ina maana hatuoni mambo haya yakitokea kwenye nchi yetu?

1. Upanuzi wa barabara ya kimara kwa njia nane ambao unaenda kwa kasi na sasa wamefikia hatua ya kuweka lami?

2. Ina maana sisi chadema hatuoni kwamba sasa hivi hamna migomo tena vyuo vikuu?

3.Ina maana sisi chadema hatuoni kwamba sasa hivi vituo vya polisi havivamiwi tena na majambazi ?
4. Ina maana hatuoni kabisa kwamba mgao wa umeme umeisha na watalii wameongezeka?
5. Si ni sisi Chadema tulikuwa tunalalamikia ufisadi na kutaka mafisadi watumbuliwe na kufungwa haraka?

Ina kama tungeshinda sisi CHADEMA, tusingefufua shirika la ndege, tusingejenge reli ya umeme wala tusingeanzisha mradi mkubwa wa kumaliza tatizo la umeme nchini kwa kujenga bwawa la Stiglers gorge?

Kama tungeshinda sisi chadema tungewaacha machinga ,mama ntilie ,wachimbaji wakiteseka kwa kufukuzwa hovyo na kuandamana mabarabarani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema hakunaga ming'ombe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom