Vijana wa hovyo kabisa hawaHii taarifa hata mimi niliiona sehemu! Ila kuna wale vijana wa Rage watakuambua "tuwekee na takwimu za CAF tuzione! Hizo taarifa zako za IFFHS, hatuzitambui"
Yaani as if hizo takwimu za CAF zinaandaliwa na Malaika Watakatifu wa Mungu!
Nimeona huko juu comments za kuwabeza Mashabiki wa Simba ndio nani nikawapa ukweli,sasa hivi Manara ndio Kiongozi wao,ndio mshauri wao Mkuu.Una maanisha nn mkuu