IFFHS: Yanga yashika nafasi ya 165 ulimwenguni Simba 222

Mabingwa wa soka nchini Tanzania, Young Africans wanashika nafasi ya 165 kwa ubora kati ya timu 500 ulimwenguni.

Kulingana na takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS), ‘Timu ya Wananchi’ ilijikusanyia alama 121 na kuifanya kuwa ya 8 kwa upande wa Afrika, na kuzipita timu kama vile Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini (9), Al Masry ya Misri (11) na MC Alger ya Algeria iliyoshika nafasi ya 12 barani Afrika.

Kwa upande wao, wapinzani wa jadi wa Young Africans, Simba Sports Club wako katika nafasi ya 222, ikiwa imekusanya jumla ya alama 97.5, pia ikishika nafasi ya 14 kwa ubora barani Afrika, kulingana na takwimu hizo.
Maendeleo hayana chama
Mambo ya kukimbia mechi.....yanatukwamisha Simba..kuwazidi yangaView attachment 3280860
Is it a Lunch box,it's just east Africa sports club ,chill up dude
 
Simba ni miongoni mwa team mbovu kuwahi kutokea hapa duniani. Na ndiomaana hata watu wanaoipenda au kuisapoti team hiyo ukiwachunguza vizuri akili zao wengi ni watu wa akili za hovyo hovyo, majungu, chuki, roho mbaya nk.
Ukiwa kiongozi wao mwehu ww....
 
Wee acha kuleta takwimu za kiutopolo takwimu mpk kichaa anashangaa...Utopolo inaizidi mamelod...inaizidi Asfar...inaizidi Simba... Africa inashika nafasi ya 6...
Hilo shirika ni la vichaa kama utopolo walivyo hawana akili..
 
Simba ni miongoni mwa team mbovu kuwahi kutokea hapa duniani. Na ndiomaana hata watu wanaoipenda au kuisapoti team hiyo ukiwachunguza vizuri akili zao wengi ni watu wa akili za hovyo hovyo, majungu, chuki, roho mbaya nk.
Jiulize wewe li timu lako lina jezi sawa na mafisiemu, Hivi mashabiki wake mtakuwa na akili timamu kweli. Ni ufisadi na wizi na unyang'au umewajaa.
 
Wee acha kuleta takwimu za kiutopolo takwimu mpk kichaa anashangaa...Utopolo inaizidi mamelod...inaizidi Asfar...inaizidi Simba... Africa inashika nafasi ya 6...
Hilo shirika ni la vichaa kama utopolo walivyo hawana akili..
Mkuu hii taasisi ipo chini ya FIFA
 
Washabiki wa Yanga mnaoongozwa na akili za Manara, kuna Watu hapo au genge?
 
Mabingwa wa soka nchini Tanzania, Young Africans wanashika nafasi ya 165 kwa ubora kati ya timu 500 ulimwenguni.

Kulingana na takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS), ‘Timu ya Wananchi’ ilijikusanyia alama 121 na kuifanya kuwa ya 8 kwa upande wa Afrika, na kuzipita timu kama vile Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini (9), Al Masry ya Misri (11) na MC Alger ya Algeria iliyoshika nafasi ya 12 barani Afrika.

Kwa upande wao, wapinzani wa jadi wa Young Africans, Simba Sports Club wako katika nafasi ya 222, ikiwa imekusanya jumla ya alama 97.5, pia ikishika nafasi ya 14 kwa ubora barani Afrika, kulingana na takwimu hizo.
Maendeleo hayana chama
Mambo ya kukimbia mechi.....yanatukwamisha Simba..kuwazidi yangaView attachment 3280860
Hii taarifa hata mimi niliiona sehemu! Ila kuna wale vijana wa Rage watakuambua "tuwekee na takwimu za CAF tuzione! Hizo taarifa zako za IFFHS, hatuzitambui"

Yaani as if hizo takwimu za CAF zinaandaliwa na Malaika Watakatifu wa Mungu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom