Brayan_Jk
Senior Member
- Mar 28, 2025
- 187
- 197
Fowl Pox ni ugonjwa wa kuku unaosababishwa na virusi, unaosambazwa na mbu au kwa kugusana.
Dalili zake:
Vidonda kwenye uso, mdomo au midomo ya macho 👀
Kuku kuwa dhaifu na kushuka uzalishaji wa mayai 🥚
Vifo hasa kwa vifaranga wadogo
Wing Web ndiyo njia bora ya kuchanja kuku dhidi ya Fowl Pox. Ni haraka, rahisi, na inalinda kundi lote dhidi ya hasara kubwa.
📲 Tumia Fuga App ili ujue tarehe bora za chanjo na kufuatilia afya ya kuku wako kwa urahisi. Pakua Fuga App Leo Fuga - Apps on Google Play
🎥 Video Credits: Ramify (YouTube)