The Certified
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 910
- 774
IFAHAMU TEKNOLOJIA YA QR CODE
Je! Umewahi Kufikiria Kuhusu Kuunda Msimbo Wa QR CODE Kwa Ajili Ya Biashara Yako? QR Code (Au Msimbo Wa QR CODE; Kutokana Na Kiingereza Quick Response Code) Ni Maandishi Au Picha Zilizo Na Mpangilio Maalumu Ambazo Huweza Kusomeka Kwa Kutumia Kifaa Maalum Kama Simu Janja (Smartphone) Ambayo Huweza Kutumia Kamera Kusoma Hayo Maandishi Au Picha Ili Kuweza Kutambua Data Zilizoko Ndani Ya Msimbo Pau (Barcode).
Teknolojia Hii Iliundwa Huko Japani Kwa Ajili Ya Sekta Ya Magari Ingawa Hivi Sasa Inatumika Katika Sekta Nyingine Pia. Teknolojia Hii Ilipata Umaarufu Nje Ya Sekta Ya Magari Kutokana Na Usomaji Wake Wa Haraka Na Uwezo Mkubwa Wa Kuhifadhi Data Ikilinganishwa Na Msimbo PAU WA UPC. Mambo Ambayo Teknolojia Hii Inaweza Kuyashughulikia Ni Pamoja Na Kufuatilia Bidhaa, Wakati, Nyaraka, Kitambulisho Cha Bidhaa N.K.
Msimbo Huu Huwa Na Miraba Miyeusi Iliyopangwa Kwa Mraba Fito Na Rangi Nyeupe Nyuma Yake Ambayo Inaweza Kusomwa Na Kifaa Kama Kamera.
Baadhi Ya Vitu Inavyoweza Kufanya QR CODE Ni Mfano Wa Bidhaa Kama Chupa Ya Asali Kutoka SALBENA PRODUCTS Inaweza Kuwa Na QR Code, Sasa Mtu Anapo Scan Ule Msimbo Wa QR CODE Anaweza Kupiga Simu Au Kutuma Ujumbe Mfupi Wa Maandishi Bila Hata Kuhifadhi Namba Kwenye Simu Yake NK. Lakini Pia Inaweza Kumsaidia Mteja Kuweka Order Au Kulipia Asali Kwa Kutumia Simu Janja Yake (Smartphone) Lakini Sio Hayo Tu QR CODE Inafanya Mambo Mengi Sana. Katika Ofisi Za Bennecy Africa Kuna Msimbo Wa QR CODE Mlango Mkuu Wa Kuingia Ndani Ya Jengo La Ofisi, Unapo Scan Pale Kupitia Simu Yako Itakupa Maelezo Kuhusu Huduma Za Kampuni Yetu Lakini Pia Kama Tumefunga Ofisi Au Tupo Wazi Basi QR CODE Itakupa Majibu Papo Kwa Hapo (0 second). Teknolojia Hii Inafanya Kazi Mbalimbali Ikiwemo Kutangaza Biashara Yako Kila Pembe Ya Dunia Kwa Haraka Na Uhakika. Lakini Kupokea Wafuasi Wengi Kufuata Kurasa Zako Katika Mitandao Yako Ya Kijamii, Na Pia Kuongeza Idadi Ya Wateja Au Wageni Kutembelea Tovuti Yako Na Kufikia Kwa Haraka WhatsApp Business Account Yako Kwa Urahisi, Usalama Na Haraka. Kila Mtu Au Biashara Unaweza Kuwa QR Code Yake.
LAKINI KUBWA ZAIDI ITAKUPA IDADI NI WATU WANGAPI KILA SIKU WAME SCAN MSIMBO WAKO WA QR CODE
Kupata QR CODE Yako Sasa Wasiliana Nasi BENNECY AFRICA Kwa Namba +255622017071
Email bennecyafrica@outlook.com
© BENNECY AFRICA TUNASEMA EXCELLENT EVERDAY

BENNECY AFRICA TUNASEMA EXCELLENT EVERDAY