Ifahamu Sara Bora kabisa duniani

Hiyo ni salamu ya kumsalimia Mariam, hivyo, kwa mudhumuni ya salamu uko sawa. Kuhusu sala, hiyo siyo sala. Hata maandiko uliyoyanukuu ni maneno yaliyotumika kumsalimia Mariam na kumpa habari ya mambo yatakayo mtokea. Karibu kwa hoja zisizo na fujo.
 
Nani kakuambia usifanye kazi kwa bidii?
 
Hiyo ni salamu ya kumsalimia Mariam, hivyo, kwa mudhumuni ya salamu uko sawa. Kuhusu sala, hiyo siyo sala. Hata maandiko uliyoyanukuu ni maneno yaliyotumika kumsalimia Mariam na kumpa habari ya mambo yatakayo mtokea. Karibu kwa hoja zisizo na fujo.
Ni sala Kwa wakatoliki
 
Usitutafutie ban ewe mwabudu sanamu.

Yesu alishaagiza ni sala ipi tuitumie, na siyo huyo bikira ambaye hata baada ya kuzaa watoto sita mnaendelea kung'ang'ania kuwa ni bikra.

Kapimwe akili
 
Usitutafutie ban ewe mwabudu sanamu.

Yesu alishaagiza ni sala ipi tuitumie, na siyo huyo bikira ambaye hata baada ya kuzaa watoto sita mnaendelea kung'ang'ania kuwa ni bikra.

Kapimwe akili
Mimi tayari nishapimwa akili na nimenukuu maandiko nadhani wewe ndiyo unatakiwa kupimwa akili kwa kutojua kuwa hayo yaloandikwa yametoka kwenye Biblia
 
mwanzo wa andiko lako umemtaja maria mama wa mungu alafu comment yako #12 point ya 30 ukasema maria kapokea neema kwa mungu.! nikaona upumbavu tu maana hata ww hujui umeandika nini ujinga mtupu tu.!
Luka 1:41 - 45 juu kuwa Mama wa Mungu(mama wa Beana wangu). Soma luka 1:43...hayo maneno aliyatamka Elizabeth akiwa amejazwa na Roho Mtakatifu.. Soma kuanzia Luka 1:39-40.
Yesu ni Mungu na mama yake ni???? Nani.. Mariam.

Huu sio mjadala wangu ila nilikuwa nachangia hapo palipohitaji ufafanuzi.
 
Mimi tayari nishapimwa akili na nimenukuu maandiko nadhani wewe ndiyo unatakiwa kupimwa akili kwa kutojua kuwa hayo yaloandikwa yametoka kwenye Biblia
Luka 11:2 Akawaambia, Msalipo, semeni, Baba [yetu uliye mbinguni], Jina lako litakaswe, Ufalme wako uje, [Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni.].......

Mathayo 6:9 Basi ninyi salini hivi; Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe, Ufalme wako uje,.......

Umeona hilo agizo kwenye andiko?
Wapi Mungu ametoa maelekezo kusali kumuomba sanamu?
 
Ungeongezea na baba yetu.....hizo 2 ni silaha kubwa hasa kwa mkatoliki
 
Hii ndiosala bora kuliko zote na ndio maana alisema kuwa mkitaka kusali semeni hivyo
 
amina amina, hii ndio sala bora sasa duniani
 
sala namba moja ni baba yetu
 
Vichaa wa roman catholic na sala zao za kipagani nao wako humu sa hiyo sala inaweza fukuza majini au mapepo au wachawi..
 
Vichaa wa roman catholic na sala zao za kipagani nao wako humu sa hiyo sala inaweza fukuza majini au mapepo au wachawi..
unawasingizia tu mkuu. roman sio vichaa wala sio sala ya kipagani. wameitoa kwenye biblia hiyohiyo unayoitumia
 
Kina Jenister ni wengi sana Tanzania, ihalalishwe tu kuwa R na L zitumike popote na kwa hali yoyote tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…