Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 46,924
- 122,195
Jock itchTinea cruris
Jock itchTinea cruris
Boss nilichaguliwaga hiyo shule a level ila sikwenda nikapiga private hapa hapa mtaani,,, mkuu walau nielezee kdgo kuhusu hiyo shule maana nilitaka sana kuja ila wazee wangu wakagomakwa wale wa "MATEMA BEACH HIGH SCHOOL" form six class of 201* hii kitu kwao sio ngeni kabisa, ase unanikumbusha ugonjwa huu ulisumbua Sana watu kitambo hiyo na sababu kuu ya huu ugonjwa mm nuliona unasababishwa na maji yaliyokuwa yakitumika
Ase asikwambie mtu bob kile kipindi shule inakaribia kufungwa vile uko na kipururu and at the some time uko na pumbu erosion lina kuwa jambo la aibu Sana kwa mchumba
Boss nilichaguliwaga hiyo shule a level ila sikwenda nikapiga private hapa hapa mtaani,,, mkuu walau nielezee kdgo kuhusu hiyo shule maana nilitaka sana kuja ila wazee wangu wakagoma
Mmmmhh!! Watu mnapitia magumu sana!!e e e e ehhh usiombe hii kitu
temeni mate chini
mimi pumbu lilichubuka ngozi likawa loteee jekundu kama nyanya iliyotolewa ganda la juu.
unatembea umeachama minguu nyuzi 90 kwa sababu likigusa tu ngozi ni umemwagia pilipili.
pumbu erosion iacheni tu wazee....
jamani sikuamini kama nilipona mmong'onyoko wa pumbu.
ukinipata mwezi wa 3 tu hapo....
Me nkaupotezea, usiku napiga gitaa hadi ngozi yote inatoka korodani znabak na ngo nyekundu kama inataka kutoa damu hivi... Nliacha tu maana hujaga na kupona wenyewe,
Kilichonikuta sasa kilinikimbiz pharamcy kununua cream ya kupaka.. Ilikua hivia bwana..
Nilienda bafun kuog sasa kila nkitafuta sabuni siioni, na nina haraka sana, nkatafta tafuta wapi, nkaona isiwe shida acha niogee ya unga...
Dk 2 mbele naanza kuhisi kama nachanwa chanwa na viwembe katika korodani, maumivu yake hakika ni kama zmekatwa na kunyofolewa kabisa..
Sio raggae sio kiduku vyote nilicheza... Ilipopoa chaap nko pgamacy siamini kama mzima
Umepotea sana mrembo NifahHaki nimechekaaaaaa
Je wanaume wanatakiwa kuvaa chupi au boksa?Pumbu erosion ni ugonjwa wa kuvu(fungus) unaowapata watu wenye kwenye mikunjo ya ngozi sehemu ya siri zenge joto na unyevunyevu…hasa kwenye mapumbu/korodani
nilipokuwa sekondari niliwaji kupata na iilisababishwa na kuvaa chupi bila ya kujifuta maji mara baada ya kuoga au kujitawaza! Pia kurudia kuvaa chupi bila kufua…kwa kifupi ni uchafu na unyevunyevu ndio haswa ndio visababishi vya kuwafanya kuvu (fungus) hao kuota na kukua.
dalili ni hizohizo kujikuna sana hata kujichubua ngozi na kusababisha majeraha ambayo hutoa majimaji na baadaye kuweka tabaka gumu ambalo pia huwasha sana. Ukioga maji ya baridi utapata maumivu siyo ya dunia hii na hivyo unashauriwa kuoga maji ya vuguvugu! Mara unapooga zingatia kujifuta vizuri na upake antifungal powder na siyo dawa yoyote ya cream au majimaji. lengo ni kutengeneza mazingira makavu ktk maeneo ya sehemu za siri. na kumbuka kupiga pasi taulo ili kuua kuvu wanaojishikisha kwenye taulo. Pia ukumbuke kuvaa chupi safi na kamwe usirudie kuvaa chupi chafu.
Dawa kama mycota powder ni kiboko kwa aina ya kuvu hawa na ukianza kuitumia matokea ni ndani ya masaa 24 hali inadarikia na unapomaliza wk unakuwa na dalili za kupona kabisa. Lakini hata hivyo unapaswa uendelee na matibabu kwa takribani wiki mbili baada ya dalili zote kupotea.
Nawakirisha!
Pumbu Jero imenipata majuzi kati tu, nilivaa boxer 2 days, hyo siku ya pili niliunganisha 24hrs job sitosahau ilibidi nivue boxer nitie kwenye begi
mbona watu tunamaliza wiki 4 na kaboxer kamoja na hatupati hizo vitu??Pumbu Jero imenipata majuzi kati tu, nilivaa boxer 2 days, hyo siku ya pili niliunganisha 24hrs job sitosahau ilibidi nivue boxer nitie kwenye begi
mbona watu tunamaliza wiki 4 na kaboxer kamoja na hatupati hizo vitu??
kwahiyo mkuu siku hiyo ulikuwa comfortable kabisa baada ya kuweka boxer kwenye begi??
huu ugonjwa me nadhani chanzo hasa ni joto(wet) si uchafu japo uchafu inawezakuwa sub factorAtakuwa ana vidonda huyo, siku mbili nakataa.
In fact, wakati niko boarding, huu ugonjwa ulikuwa haukalishi nimevaa chupi au sijavaa, ulikuwa lazima unijie. Nikirudi likizo napona hata bila kutumia dawa.
nilidhani ni JOCK ITCH!Joking itch