Oluwa ni
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 717
- 446
PICHA GALA III
Ni Platform ambayo ilianzishwa mwaka 2020 kwa lengo la kuwakutanisha vijana wanaofanya vitu/ kazi, Career na Vipaji tofauti tofaut kwa lengo la kusocialize, kupeana skills na knowledge pamoja na kushare vitu tofauti na kupeana opportunities.
Hii ni mara ya III itafanyika, ilianza mwaka juzi, mwaka jana na kisha mwaka huu ambapo inatarajiwa kufanyika 20 May
Mwaka huu inafanyika hapa Dar Es Salaam
Usafiri utakuwa kwenda na kurudi kwa wakazi za Dar na tutatangaza pick up point few days before event kwa ambao watakuwa tayari wamelipia na kuthibitisha ushiriki wao.
Activities zipo kama michezo, music, swimming, kula pamoja, kunywa, kupiga picha.
Malipo ni 35,000 ambayo yanacover kila kitu ikiwemo usafiri, chakula, vinywaji, viingilio na michezo yote
Unaweza kubook Nafasi kwa kujaza taarifa zako kupitia
Pia unaweza kujoin Group la Picha Gala Family kupitia
Fuatilia Picha Gala Session youtube link
Instagram View attachment 2195922
@Picha_gala