Acha masihala mkuu,wewe unaweza Jenga majengo sehemu ambayo haina biashara kwa hoja yako unamaanisha Kigoma?
Mkoa wa Kigoma una Kasulu na Kigoma Mjini usisahau Hilo Ni Miji mikubwa hiyo ,Rukwa na Katavi Ni hapo Mjini tuu Yaani Sumbawanga na Mpanda.
Juu ya Nani Sasa mkuu unaweza salia huko huko mwisho..
Hadi leo kwa anaenipanga kimaisha siwezi kumshauri aanzie hapa DSM bora akajikite Mbeya, Njombe, mwanza, Kahama, mafinga, katoro, Tunduma, sehemu ambayo sikuielewa Songea mzunguko uko chini kidogo Mbinga au kwa mtwara masasi.
Kwa mfano Kuna mji unaitwa inyonga upo ndani ya pori kubwa Sana . Ila kwa Sasa umeunganishwa na lami hivyo utaanza kukua.
Kilimanjaro wana maghorofa mengi kushinda Mwanza?
Kuna mishe nyingi baada ya Lami kuingia mpanda. Sasa hivi Kuna mabasi yanatoka Dar Tabora Mpanda. Mabasi sio Chini ya Tano yanatoka Mpanda to Mwanza via Tabora. Tena Luxury buses.
Sawa ila ujenzi wa magorofa Ni kama jengo 1 kwa mwaka Sasa hapo unategemea Nini?Kuna mishe nyingi baada ya Lami kuingia mpanda. Sasa hivi Kuna mabasi yanatoka Dar Tabora Mpanda. Mabasi sio Chini ya Tano yanatoka Mpanda to Mwanza via Tabora. Tena Luxury buses.
Kumbe ishu ya jiji au mji na maghorofa ni vitu vyenye uhusiano kwa mbali sana ndo natambua leo
Just imagine Mwanza na Mbeya hakuna maghorofa mengi wanazidiwa mpaka na Arusha lakini ndo majiji makubwa ukiacha Dar
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Bora hata Majimoto kuliko hiyo Inyonga..Kwa mfano Kuna mji unaitwa inyonga upo ndani ya pori kubwa Sana . Ila kwa Sasa umeunganishwa na lami hivyo utaanza kukua.
Kweli wilaya za katavi ni either kata au tarafa zilizo porini ndio zilikua promoted na zaidi nadhani kwa sababu shughuli kuu katavi ni kilimo na kuna tatizo nililiona Rukwa na Katavi bado hawajaweza kuzitumia fursa za mipaka yake na nchi kama Congo ipasavo hasa wenyeji hawajajichanganya sana kufetch pesa kwenye nchi ya congo,
Hapa umetupiga Fikoshi na majinjah toka lini zikawa luxury mkuu?
Sawa ila ujenzi wa magorofa Ni kama jengo 1 kwa mwaka Sasa hapo unategemea Nini?
Bora hata Majimoto kuliko hiyo Inyonga..
Wachaga wanajega ghorofa migombani huko zakuishi.Hayo maghorofa msifikiri lazima yawepo cbd ya jiji au mji kuna watu wana mijengo migombani huko ila cbd ni hoi
Bora hata Majimoto kuliko hiyo Inyonga..
Wachaga wanajega ghorofa migombani huko zakuishi.
Lazima wawe juu, kwenye maghorofa, ukilinganisha na mwanza ambako ghorofa nyingi ziko town na ni serikali au biashara.
Ni kweli mkuu pale ndio Kuna Pesa kwa Halmashauri ya Mpimbwe.Maji moto niliwahi kwenda pakiwa porini kabisa miaka kumi baadae narudi nilitamani kuficha sura yangu yule msukuma jamaa yangu aliekua ananilazimisha ninunue mashamba ambayo ni viwanja wakati huo tena bei mbaya wakati walikua ananibebembeleza wanipe ekari kwa 50elfu miaka hiyo nilibaki najiona bonge la fara, yaani ni mji wa biashara sijawahi kuona na watu ni wengi pale maji moto, starehe zinafanyika na ukienda msimu utakimbia pesa mwenyewe
Nadhani statistics zinaangalia mkoa mzima. Arusha Kama jiji wanaweza wasiwe na maghorofa mengi ila kimkoa akawazidi Mbeya na Mwanza.