Ifahamu Mamlaka ya Kudhibiti Madini Tanzania (TMAA) iliyotumbuliwa na Rais Magufuli

Nilivyoelewa mimi ni kwamba.. rioort imeonyesha upotevu wa madini yenye thamani ya billions to trilioni. Hivyo rais kuona hvyo akaamua kushughulika na wahusika waliopewa hiyo kazi ya kusimamia madini nchini ikihusisha waziri wa wizara husika na TMAA. Labda nitakuw nmeweza kukuelewesha mkuu ??
Vyote ni sawa hata grade,kiasi na aina ya madini ilitakiwa wao ndio wawe wa kwanza kutambua...
 
M1 hapo kwenye hiyo Board ni classmate wangu, hata nlikuwa sijui yuko wapi ila leo nimempata.
hahahaaa,,huwa tunatawanyika ila baadae huwa tunakutanishwa sisi ndo binadamu bwana kwa vyovyote vile lazima tuonane tena
 
Wezi tu acha waka 0713 jelaaaaa hko hawana umuhimu wowote

Ova
 
Anaweza akatokea mtu sampuli ya guguli wa pccb kwa mali na viwanja taasisi ina safari na makongamano na training nyingi sana.

Hao jamaa lunch zao nyingi ni Terrace slipway au Double tree lobby. Usicheze na madini
 
Mein kempf bodi nimeona kama ifuatayo

Chairman Charles Abel Sabuni
Wajumbe: Dr Evelyn M. Richard
Dr Augustine Hangi
Dr Isaac Muneji Marobhe
Ndg Fatuma Chillo
Ndg Casmir Faustine Nkuba
 
Naomba niwakilishe ka PDF labda katasaidia kuharisha kidogo.
 

Attachments

  • PROCEDURES FOR MINERALS IMPORT EXPORT.pdf
    1.6 MB · Views: 115
e , imegeuka na kuwa kaa la moto kwa watanzania baada ya kuwa dalali wa kuidanganya serikali na kuiibia mapato yake halali ya madini,
naona kamA unafurahia, hukumu yako sijui ime base kwwnye allegations zipi, ila mkulu kasema wachunguzwe
 
sina uhakika wana stake gani katika mikataba iliyopitishwa miaka 13 iliyopita
In fact Tmaaa ndo injini ya tathmini ya madini yetu na suala zima la thamani yake, mchskato ktk kuyauza nk...so watendaji hawa wana ishu ya kujibu directly and indirectly.
 
Back
Top Bottom