Andrew Mushi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 630
- 697
Nani kasema?Hii idara ipo kwa ajili ya usalama wetu wote
Ujuaji huu watanzania wangekuwa nao kwenye uzalishaji nchi ingekuwa level sawa na walau Malaysia
Tuchape kazi. Ujuaji mwingi hautusaidii
Hii idara ipo kwa ajili ya usalama wetu wote
Jamani,
Tusichanganye maandishi na utendaji.
Wenye kuelewa; mtaelewa!
Zaidi nawaomba, Mods fungeni huu Uzi!
Anafikiri wote humu ni wadhururajiMkuu nakubaliana na wewe, mimi nashukuru napiga kazi kweli kweli, na nalipa kodi milioni 200 za Kitanzania kwa mwaka
Je wewe Mkuu uchapaji kazi wako uko wapi? Au mchango wako kwa taifa,
Inategemea na mtu, labda ndani ya moja "1" kuna "1" mbili au moja "1" inawakilisha 2.1+1 = 3
Mtachonoa mengi kujifariji na kibano cha mapato yasiyo halali. Ni wakati wa kubadilika sasa. Kwa mfano wewe 'Andrew Mushi' tukihoji na kuanza kujadili kazi za idara zote za Serikali tutakuwa na muda wa kufanya kazi kweli!100% nakubaliana na wewe je mawazo yangu yanapunguza nini uchapaji kazi wangu au wako Mkuu?
Unajua unachokiongea?
Ahsante, comment yako ni faraji kwangu, imekugusa ndipo Mkuu!
After all Taifa kwanza, ujambazi, wizi, kutekana ndio sehemu ya ujenzi wa taifa,
Kweli
1+1 = 3
Kwa kuwa umebandika hapa kuwa unalipa milioni 200 ndo basi inatosha? Haya nami nalipa milioni 300 kwa mwaka. Acha siasa fanya kazi ulipe hata 500 kwa mwakaMkuu nakubaliana na wewe, mimi nashukuru napiga kazi kweli kweli, na nalipa kodi milioni 200 za Kitanzania kwa mwaka
Je wewe Mkuu uchapaji kazi wako uko wapi? Au mchango wako kwa taifa,
Mtachonoa mengi kujifariji na kibano cha mapato yasiyo halali. Ni wakati wa kubadilika sasa. Kwa mfano wewe 'Andrew Mushi' tukihoji na kuanza kujadili kazi za idara zote za Serikali tutakuwa na muda wa kufanya kazi kweli!
Tunalo Bunge ambalo kazi yake ni pamoja na kurejea sheria. Hivyo, tuwaamini kuwa wanatimiza wajibu wao.
Kwa kuwa umebandika hapa kuwa unalipa milioni 200 ndo basi inatosha? Haya nami nalipa milioni 300 kwa mwaka. Acha siasa fanya kazi ulipe hata 500 kwa mwaka
Zamani ili kuwa kuwaona ama kusikia wakitajwatajwa ili kuwa ngumu zaidi sana waliogopeka na kuheshimika sana,,,walikuwa kama wajinga lakini makina Sana ata bar walikuwa hawajisemisemi wao kina nani