Ifahamu ACT-Tanzania/Wazalendo

Ifahamu ACT-Tanzania/Wazalendo

Chama dola au si chama dola? Nina maana yangu mkuu, na ninajua nilichoandika hapo. Hilo lisikupe shida. Nitakapoweka mabandiko wewe utatoa maoni yako, lakini kitakachojadiliwa hapo ninakijua na nina uhakika nacho

Then you have communication issues ,rigid ,sefle-centered .
In your projections how man people will come back to review your new post?The right move was to acknowledge the ambiguity and explain what you meant by that .....

ACT #Failure to launch
 
Hapana, mimi siko huko mkuu. Sina chama chochote, bali ni Mtanganyika tu wa kawaida na mpenda mabadiliko. Watu wote wanaozuia mabadiliko haya ambayo Watanzania wameyahitaji muda mrefu tutamuumbua. Duruni ni uwazi na ukweli tu, unafiki kwetu mwiko. Tutasema kweli daima kwa ajili ya maslahi mapana ya taifa letu; wanafiki na wasaliti wa mabadiliko haya lazima tuwaumbue!

nyie ndo wanafki na wadidimizani wa ndoto za kuhitaji mabadiliko ya kiiutawala katika nchi hii walafi na wapenda vyeo hamna jpy
 
Kuna njia nyingi za kuwafikishia watu ujumbe mkuu. Hata vijijini habari zitafika tu. Haya mabandiko hayawekwi hapa JF pekee bali yanawekwa kwenye mitandao mingi tu ya kijamii. Mabandiko mengine yatatumwa kwa marafiki zangu waliotapakaa vijijini nchi nzima kupitia mtandao wa WhatsApp, nawo watasambaza kwa watu wengine vijijini. Teknolojia iko juu sana mkuu siku hizi, mpaka vijijini kuna mitandao ya kijamii!

Kwa hiyo, huo ushauri wako ni wa kututoa watu wa duru kwenye malengo ili tusianike uozo kwa maslahi mapana ya taifa letu. Hatukubali, hatukubali, hatukubali; [Lazima Umma wa Watanzania ushinde vita hii]
Kwa hiyo mnakitangaza chama kwa whatsapp.
 
Then you have communication issues ,rigid ,sefle-centered .
In your projections how man people will come back to review your new post?The right move was to acknowledge the ambiguity and explain what you meant by that .....

ACT #Failure to launch

Duuuh! Mimi nitakachojadili hapo ni dhana ya mfumo wa uongozi ndani ya ACT-TANZANIA / WAZALENDO kwa ujumla. Katika kujadili dhana hiyo, nitaangalia kwa mapana, jinsi ambavyo mfumo wa uongozi ndani ya ACT-TANZANIA / WAZALENDO; yaani mfumo wa kuwa na Kiongozi mkuu (Supreme Leader) na Mwenyekiti wa chama vinaweza kuja kutengeneza au kutotengeza mfumo wa chama dola huko mbele ya safari. Aidha, nitaangalia dhana ya chama dola katika miktadha miwili: kwanza, uwepo wa uchama dola katika muktadha wa chama kilichopo madarakani; pili, uwepo wa chama dola katika muktadha wa chama kisicho marakani.

Mambo mengine uliyoaibua sitayajibia kwa sababu sijaelewa lengo lako hasa ni lipi maana umesema hata vitu ambavyo havipo. Ila imenilazimu tu kutoa ufafanuzi ambao ulitaka niutoe kwenye swali lako la kwanza
 
nyie ndo wanafki na wadidimizani wa ndoto za kuhitaji mabadiliko ya kiiutawala katika nchi hii walafi na wapenda vyeo hamna jpy

Sio kweli. Kama mimi ningekuwa mnafiki nisingekuwa naanika uozo na kuwafichua wanafiki wanaozuia safari ya mabadiliko ambayo Watanzania wameyahitaji muda mrefu. Sisi katika duru tunasema kweli daima, hatufichi na hatupendi unafiki. Haiwezekani Watanzania wamesubiri mabadiliko muda mrefu halafu linakuja genge la wahuni kuzuia mabadiliko hayo; lazima tutawaumbua tu na kuweka wazi unafiki wao!
 
Na wewe ndio umekuwa Afisa Habari na Propaganda wa Chama badala ya Mwl Kaijage na Dotto Rangimoto?

Hapana mkuu. Hawo watu bado ndio maafisa habari wa ACT-TANZANIA / WAZALENDO. Japo habari zenye nazitoa jikoni. Mimi kazi yangu ni kuanika uozo na unafiki wa vyama vinavyoundwa ili kuzuia mabadiliko ya kiiutawala ambayo Watanzania wameyasubiri kwa muda mrefu!
 
Mtawapa kick bila sababu maana baada ya wachambuzi wataanza tafuta huruma ya jamii
 
Kwa nini kama hukuwa tayari usingengoja mpaka uwe tayari?

Tumengojea mpaka tumeboreka.

ACT mwanzoni nilidhani mmekuja kweli kwa ajili ya mabadiliko, sasa nimegundua ni mradi wa mtu mmoja, aliyefanikiwa kushika akili ya watu wengi sana wasiojifahamu vema.

Hiki chama kingeitwa Teamzitto ndio ingekuwa sahihi.
 
Hapana mkuu. Hawo watu bado ndio maafisa habari wa ACT-TANZANIA / WAZALENDO. Japo habari zenye nazitoa jikoni. Mimi kazi yangu ni kuanika uozo na unafiki wa vyama vinavyoundwa ili kuzuia mabadiliko ya kiiutawala ambayo Watanzania wameyasubiri kwa muda mrefu!
Yaani na wewe unafanya ussalitti ndani ya ACT kama Ayyattollah Zitto alivyofanya Chadema? OK, twangoja.
 
Hapana mkuu. Hawo watu bado ndio maafisa habari wa ACT-TANZANIA / WAZALENDO. Japo habari zenye nazitoa jikoni. Mimi kazi yangu ni kuanika uozo na unafiki wa vyama vinavyoundwa ili kuzuia mabadiliko ya kiiutawala ambayo Watanzania wameyasubiri kwa muda mrefu!

OKAY, hebu tuambie uhozo wa CHADEMA ,CUF na NCCR kwanza kabla ya kuzungumzia wa ACT. BTW kipi ambacho hatujasikia kuhusu hiki chama kama sio.unafiki tu na uzandiki. haya leteni zile email zenu na namba zenu zile feki period.
 
Tulia dawa iingie vizuri
 
Bado ipo mkuu, ila iko taabani kifedha. Hali ni mbaya mkuu. Juzi kati tu hapa kulikuwa na kikao kujadili hali ya ukata inayokikumba hicho chama kwa sasa. Wakubwa hawajatoa fedha bado

chuki zingine za ajabu sana. kila mara huwa najaribu kujitafakarisha namna kijana huyu mnavyomnwandama kana kwamba viongozi wa vyama vingine vya siasa hawana makosa tena mengine makubwa zaidi ya yanatosemwa kwa huyu kijana wa watu. kwa nini hatuwezi kukemea viongozi wasanii ambao wanajitanabaisha wazalendo kwa kusema hatatumia gari la serikali lakini analifuata kimyua kimya na kulitumia tena akitaka jipya? mbona gari hilo linaonekana kwenye mikutano ya kichama badala ya kwenye shughuli za umma? unajua kama vijana mkitaka kuwa viongozi makini ni kuacha ushabiki ambao hauna maana. vyama vyetu vya kisiasa hakuna kinachoweza kutoka na kusema vyanzo halisi vya mapato yake. wengine tulio kwennye vyama hivi siku nyingi tunajua siri nzito. wakati huku nje mkiwaita watu mafisadi, ndani wanafadhili vyama. huku ukisema huyu mwizi, ndani wanamkumbusha anayesema maovu yake. hivi huwa hamjiulizi kwa nini sakata la escrow halijagusa ile benki na kufichwa majina? kuna watu mpaka viongozi wa kisiasa ikiwekwa wazi, pengine ni anguko kuu kuliko linalodhaniwa kwa CCM, anguko baya kabisa kwa vyama vya siasa nchini. hivi mnajua mtandao huu ambao sasa umeingia mpaka nyyumba za ibada na kuwakumba wale watumishi wa mungu waliokuwa mstari wa mbele kuisema serikali na chama tawala. vijana kuweni makini na ushabiki. kosoeni pande zote kama mnadhamira ya dhati ya kuonyesha uovu kwa wale ambao mnaona wanatenda kinyume na matarajio yenu. kumsakama mtu kwa majina ya usaliti na kutumiwa lazima mjiridhishe zaidi. ok ngoja tusubiri evidence zinazosemwa juu ya ACT na mtu msiyempenda kumsikia zitto juu ya tuhuma zake.
 
Hapana mkuu. Hawo watu bado ndio maafisa habari wa ACT-TANZANIA / WAZALENDO. Japo habari zenye nazitoa jikoni. Mimi kazi yangu ni kuanika uozo na unafiki wa vyama vinavyoundwa ili kuzuia mabadiliko ya kiiutawala ambayo Watanzania wameyasubiri kwa muda mrefu!

Mkuu Kaptula la Marx watu wengi awajakuelewa hapa sasa ni bora uktupia huo mnakasha mpya nadhani wataelewa ulikuwa unamaanisha nini haswa hapo CHANZO cha mapato ya ACT
 
Last edited by a moderator:
Hapana, mimi siko huko mkuu. Sina chama chochote, bali ni Mtanganyika tu wa kawaida na mpenda mabadiliko. Watu wote wanaozuia mabadiliko haya ambayo Watanzania wameyahitaji muda mrefu tutamuumbua. Duruni ni uwazi na ukweli tu, unafiki kwetu mwiko. Tutasema kweli daima kwa ajili ya maslahi mapana ya taifa letu; wanafiki na wasaliti wa mabadiliko haya lazima tuwaumbue!

Safi sana. Ni chama makini kwa watu makini
 
Good idea,tumia sana busara kuwajibu watu wanaopenda kutumia lugha chafu kwenye comments. Ukiona mtu anakujibu kwa kutumia lugha ya matusi faham ndiyo akili yake ilipoishia. No need of revenging. You must know that he has got mental disorder.
 
Back
Top Bottom