Ifahamike kwamba kila aliyepotea ama kuuawa kisasi chake kitalipwa kwa waliohusika ambao wote wanafahamika

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,303
Reaction score
271,561
Huu si mpango wangu mimi, bali ni kanuni halali ya Mungu Muumba mbingu na Ardhi

Kwa Mfano waliomteka Mdude wanafahamika na. mmoja wao ametunukiwa Uwaziri, Au wale waliohusika n.a. kutekwa kwa Polepole wote wamejulikana wakiwemo wastaafu n.a. Wafanyabiashara waliowatuma

Mungu wa Mbinguni hawezi kuwa Fala wa kuacha yore haya yapite Hivi Hivi tu

KILA UBAYA UTALIPWA
 
Mdude ni mtu aliyekuwa anaishi Mbeya na alitekwa kutoka nyumbani kwake wakati huo mkuu wa Mkoa wa Mbeya alikuwa ni huyu waziri haramu wa sheria!!

Kuhusu waliohusika na kumteka Pole pole, lazima yule mzee mnafiki wa Nyerere foundation atahusika. Hao wafanya biashara walliohusika. I cannot make an intelligent guess.

Njia moja ya kusaidia kukomesha huu utekaji na kuua watu ni kuwaanika wale tunaojua kuwa wanahusika kwa njia yeyote ile na vitendo hivi haramu.

Kama hao wafanya biashara wawezeshaji wa utekaji wanafahamika ni bora kuwataja tu!
 
Huu si mpango wangu mimi, bali ni kanuni halali ya Mungu Muumba mbingu na Ardhi

Kwa Mfano waliomteka Mdude wanafahamika na. mmoja wao ametunukiwa Uwaziri, Au wale waliohusika n.a. kutekwa kwa Polepole wote wamejulikana wakiwemo wastaafu n.a. Wafanyabiashara waliowatuma

Mungu wa Mbinguni hawezi kuwa Fala wa kuacha yore haya yapite Hivi Hivi tu

KILA UBAYA UTALIPWA
KILA UBAYA UTALIPWA📌🔨💪🏿
 
Unasahau kusisitiza kitu kimoja tu, ambacho kingekamilisha usahihi wa uliyoandika hapa.

Kwamba hakuna atakayeonewa. Wote watasimama mbele ya sheria na kujibu kuhusu matendo yao maovu.
 
Sio kuwaanika tu, ni kuwashughulikia kisawasawa kwa mujibu wa sheria ili wao na kizazi chao waishi kwa tabu sana.
Utanisamehe sana mkuu, lakini jina lako linatia kinyaa sana,

Sijui unamaana gani hasa!

Nimekusoma mara kadhaa humu JF, na kila mara najiuliza maswali juu ya utambulisho wako huo.
Kwetu wengine, hilo lina maana kubwa sana..

Naomba unielewe tu, sijahimiza ubadili jina!
 
Mdude ni mtu aliyekuwa anaishi Mbeya na alitekwa kutoka nyumbani kwake wakati huo mkuu wa Mkoa wa Mbeya alikuwa ni huyu waziri haramu wa sheria!!
Kuhusu waliohusika na kumteka Pole pole, lazima yule mzee mnafiki wa Nyerere foundation atahusika. Hao wafanya biashara walliohusika I cannot make an intelligent guess.
Njia moja ya kusaidia kukomesha huu utekaji na kuua watu ni kuwaanika wale tunaojua kuwa wanahusika kwa njia yeyote ile na vitendo hivi haramu. Kama hao wafanya biashara wawezeshaji wa utekaji wanafahamika ni bora kuwataja tu!
Yule wa simu mmoja Kisutu
 
Utanisamehe sana mkuu, lakini jina lako linatia kinyaa sana,

Sijui unamaana gani hasa!

Nimekusoma mara kadhaa humu JF, na kila mara najiuliza maswali juu ya utambulisho wako huo.
Kwetu wengine, hilo lina maana kubwa sana..

Naomba unielewe tu, sijahimiza ubadili jina!
Mtu unajitanabaisha na muuaji huku ukimpiga,ni jambo lisiloelweka
 
Nafurahi kuona kuna watu bado wanawaza haki.Usiku wa kiamkia leo nililala nawaza.Hivi inawezekanaje watu wauawe kwa wingi namna ile October 29 halafu hakuna quo sequence zozote kwa waliohusika ?Yaani watu wote wale waliochinjwa kwa risasi, damu yote ile iliyomwagika,na hakuna wa kuwajibika?
Zaidi tu watawala wetu wakifungua vinywa vyao zinatoka kauli za kuudhi na kukatisha tamaa.Hili jambo nikiliwaza linaniletea stress sana.
 
poor strategy poor outcome
 
Mkuu 'Mwami', nakuomba ufuatilie kwa karibu sana tabia anayoionyesha mhusika ma mauaji hayo hivi sasa.

Kwake ni kama jambo ambalo halikuwahi kutokea kabisa. Hana kumbukumbu yoyote juu ya hilo.

Huyu na wenzake wote ndivyo wanavyowaona waTanzania sasa hivi; kuwa ni kama mifugo tu inayochinjwa, na mambo yanaendelea kama kawaida baada ya hapo.

Hakuna hata moja wanalojutia katika yoote yaliyowapata waTanzania.
 
Back
Top Bottom