Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 8,164
- 18,675
Rais mstaafu wa awamu ya nne kwenye picha akipanda Ndege ya Rais kuelekea Mjini Harare , Zimbabwe
kumuwakilisha Rais John pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa Rais mteule wa Taifa hilo.Ama kwa hakika Ndege zinampendezea huyu Bwana.


Mungu aendelee kukulinda Mzee wetu.